korea kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ward41

    Ipi siri ya nchi ndogo ya Korea Kusini kuzalisha umeme mwingi wa Gigawatts 143?

    Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba. Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia. Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    Tetesi: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake nchini Korea Kusini ili kuwahi msiba wa Membe

    Nimepenyezewa taarifa kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake Korea Kusini ili kuja kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Waziri wake wa Mambo ya Nje ndugu Bernard Membe aliyefariki leo asubuhi. Iliwahi kuvumishwa wawili hawa kuwa wana undugu lakini Rais Kikwete alikanusha na...
  3. S

    Korea Kusini: Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete atembelea Ubalozi wa Tanzania

    Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Seoul, Korea Kusini na kuzungumza na wafanyakazi. Akiwa na mwenyeji wake Balozi Togolani Mavura, amewahimiza kuendelea kuchapa kazi kwa bidii na kuunga mkono kazi kubwa...
  4. D

    Mambo 8 ya kushangaza kuhusu Korea Kaskazini

    (1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa mwaka 1912. (2) Korea Kaskazini ina mfumo wake (operating system) kwenye upande wa computers zao...
  5. JanguKamaJangu

    #COVID19 China yazuia visa za wasafiri kutoka Korea Kusini, Japan sababu ya UVIKO-19

    Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa. Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
  6. BARD AI

    Rais mstaafu wa Korea Kusini aachiwa huru

    Rais wa zamani wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amepata msamaha wa Rais na kukatiza kifungo chake cha miaka 17 jela kwa ufisadi. Rais wa Korea Kusini, Yoon Seok-yeol ametoa msamaha huo kwa Lee, leo Jumanne ya Desemba 27, 2022 kama sehemu ya msamaha wa watu wengi ambao ni kawaida katika nchi hiyo...
  7. Shujaa Mwendazake

    Korea Kaskazini yarusha ndegevita zaidi ya 200 jirani na mpaka wa Korea Kusini

    Vikosi vya kijeshi vya Seoul vilisema karibu ndege 200 za jeshi la Korea Kaskazini ziligunduliwa kwenye rada zikiwa angani siku ya Ijumaa Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Korea Kusini ilirusha makumi ya ndege za kivita baada ya kuona idadi kubwa ya ndege za kivita za Korea Kaskazini kwenye...
  8. Shing Yui

    Korea Kaskazini yarusha kombora kwenye bahari ya Korea Kusini huku mazoezi makubwa kati ya USA na Korea Kusini yakiendelea

    Korea Kaskazini imerusha kombora kuelekea Kusini, ambalo lilivuka mpaka wa bahari wa nchi hizo mbili kwa mara ya kwanza tangu kugawanyika kwa peninsula hiyo. Kombora hilo la masafal mafupi lilitua umbali wa kilomita 60 kutoka mji wa Sokcho Kusini na kufyatua kengele za mashambulizi ya anga...
  9. BARD AI

    Korea Kusini: Watu 151 wafariki kwenye sherehe za Halloween

    Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga Zaidi ya watu 100 pia wanaripotiwa kujeruhiwa kwenye tukio hilo lililowakutanisha watu takriban 100,000 ikiwa ni...
  10. MK254

    Korea Kusini nao waanza mazungumzo ya kujihami kwa nyuklia, kama mbwai iwe mbwai

    Ndio fasheni sasa, ukijihami kwa nyuklia unakua na uhuru wa kufanya chochote, Urusi manyuklia yake yamemuwezesha kunyanyasa vitaifa vidogo vilivyomzunguka. Korea Kusini wamechoka vitisho vya Kim wa Korea Kaskazini, kila siku anabwatuka manyuklia...wameanza mazungumzo ya kujihami.... North...
  11. S

    Marekani na Korea Kusini warusha kombora kuijibu Korea Kaskazini, Korea Kaskazini yawatumia nyongeza ya makombora 2 ya balistiki

    Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na...
  12. MakinikiA

    Baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora, Korea Kusini wajibu lakini kombora lashindwa kupaa

    Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
  13. MK254

    Marekani na Korea Kusini wamjibu Korea Kaskazini kwa kuonesha ubabe wa makombora

    Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita anga la Japan, sasa Marekani na Korea Kusini wamemjibu kwa kufyatua makombora ya hatari. Hii dunia...
  14. MK254

    Kamala Harris atembelea Korea Kusini, Korea Kaskazini walipua makombora baharini

    Kama ilivyokua kwa Pelosi kuitembelea Taiwan ambapo Wachina walijibu kwa kupiga bahari kwa makombora, ndivyo imekua kwa Korea Kaskazini kuonea bahari kwa kuipiga kwa makombora kisa makamu wa rais wa USA ametembelea Korea Kusini. ======= US vice president Kamala Harris arrived South Korea a...
  15. kimsboy

    Rais wa Korea Kusini adaiwa kunaswa akiwaita wabunge wa Marekani "wapumbavu"

    Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu" Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa safari yake mjini New York, si sahihi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari, Rais wa Korea Kusini...
  16. Suley2019

    Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  17. S

    Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

    North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
  18. ward41

    Baadhi ya Brand kubwa za Korea Kusini

    Haya hapa ni baadhi ya makampuni ya kibabe ya Korea ya KUSINI. Thamani yake ni billions of dollars. Kila kampuni hapo ukiigusa ina brand ya kibabe. KIDUKU Yuko busy na vi nuclear vyake Saba. Kumbuka haya mataifa yalikuwa maskini sana miaka ya 1950s. Lakini sasahivi ni kama mbingu na ardhi...
  19. MK254

    #COVID19 Kim Jong Un apata nafuu baada kuugua Corona, aahidi kulipiza kisasi kwa Korea Kusini

    Dadake atoa tamko na kusema kiongozi huyo sasa yupo imara baada ya kuugua na kwamba watalipiza kisasi kwa Korea Kusini maana wanasema ni mchezo ulikua umechezwa kiaina fulani hivi......... SEOUL (Reuters) -North Korea's Kim Jong Un declared victory in the battle against COVID-19 on Thursday...
  20. STRUGGLE MAN

    Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

    "TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
Back
Top Bottom