korea kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kasomi

    Kumbukumbu: Vladimir Putin alivyokutana na Kim Jong UN

    Je, Kim Jong Un atasimama upande wa Putin? Unaonekana kuna uswahiba kati yao. Video ikirejea Siku ambayo Rais wa Urusi Vladimir Putin alivyokutana na Rais wa Korea kaskazini Kim Jong Un.
  2. beth

    #COVID19 Korea Kusini yarekodi maambukizi zaidi ya 13,000 kwa mara ya kwanza

    Korea Kusini imerekodi maambukizi zaidi ya 13,000 kwa mara ya kwanza, huku Mamlaka zikionya Kirusi cha Corona aina ya Omicron kinaweza kuchangia hadi 90% ya maambukizi mapya katika wiki zijazo. Visa 13,102 vimerekodiwa siku moja baada ya maambukizi mapya 8,000 kuripotiwa, na Serikali imesema...
  3. britanicca

    Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

    Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda ! Mashart kama vile 1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama...
  4. Analogia Malenga

    #COVID19 Korea Kusini: Hata waliopata chanjo kamili watakiwa kukaa karantini

    Korea Kusini imerekodi maambukizi 5,266 ya COVID-19 kwa Desemba 1, maambukizi ambayo ni makubwa, ikiwa ni wiki mbili baada ya kuripotiwa kwa kirusi cha Omicron. Wasafiri wote watatakiwa kukaa karantini kwa siku 10 hata wale waliopata chanjo kamili kwa kuwa pia huathiriwa na aina mpya ya kirusi...
  5. Miki123

    Marekani na Korea kusini wamepagawa baada ya kuona Submarine Nuclear ya Korea Kaskazini

    Dunia ina double standard sana. Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi. Mpaka sasa ni nchi kama Saba zinazoweza kuunda Aina hii ya nyuklia. USA haikufahamu kuwa Korea Kaskazini ina uwezo...
  6. Miss Zomboko

    Korea Kusini yapiga marufuku ulaji wa Mbwa

    Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa muda sahihi umefika wa kupiga marufuku ulaji wa mbwa katika nchi hiyo. Rais Moon ambaye ni Moja ya watu wanaopenda ufugaji wa mbwa amesema upigaji marufuku wa ulaji wa mbwa ni njia mojawapo itakayosaidia kulinda wanyama hao wasiteketee zaidi...
  7. J

    Wanajeshi wa Korea Kusini wapata maambukizi ya #COVID19 wakiwa Pwani ya Afrika Mashariki

    Waziri Mkuu, Kim Boo-kyum ameomba radhi mbele ya Umma kwa Serikali ya Korea Kusini kushindwa kuzingatia #Afya za Askari wake wa Kikosi cha Maji Wanajeshi hao wa Korea Kusini wako kwenye doria maalum ya kukabiliana na Uharamia katika Pwani ya Afrika Mashariki Wizara ya Ulinzi imethibisha kuwa...
  8. FRANC THE GREAT

    Korea Kusini yaondolewa vizuizi vya makombora. Ruksa sasa kuunda makombora yenye uwezo mkubwa zaidi!

    Habari! Marekani imeiondolea Korea Kusini vizuizi ama ukipenda waweza kuita vikwazo vya muda mrefu (miaka 42) juu ya uwezo wake wa kutengeneza makombora. Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in alitangaza uamuzi huo Ijumaa kufuatia mkutano wake na Rais wa Marekani Joe Biden hivi karibuni jijini...
  9. Tea Party

    Mfumo wa kupeana majina nchini Korea Kusini

    Asante mno kwa kuweza kufungua uzi huu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wakorea huwa wanatumia mfumo wa tofauti sana katika kupeana majina. Kwa hapa Tanzania kwa mfano mtu anaitwa JOHN SULUHU KIKWETE. Maana yake hapo JINA LAKE ni JOHN, SULUHU ni JINA LA BABA alafu KIKWETE ni jina la...
  10. Tea Party

    Moon Jae In: Vitu 10 kumhusu rais wa Korea Kusini

    Habari zenu wakuu. Kwa wale wapenzi wa Korean dramas huyu ndiye Rais wa Korea. Jina lake ni Moon Jae In. Alipata urais mwaka 2017 baada Park Geun Hye kuponzwa na rafiki yake Soon Sil hivyo kuondolewa madarakani. 15 . Moon alizaliwa mwaka wa vita. Alizaliwa 1953 miezi michache baada ya korean...
Back
Top Bottom