Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban. Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia, Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan...