kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sababu za Simba kuachana na CEO wao ni zipi

    Klabu ya Simba imetangaza kuachana na CEO wake raia wa Rwanda bwana Regis Francos kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao je sababu hizo zaweza kuwa ni zipi? mbona Simba inafanya vizuri katika ligi?
  2. M

    Drama ya Mondi kuachana na Zuchu imeshindwa kuwapaisha.

    Ndio maana tunaambiwa tusijenge mazoea. Nakumbuka hawa vijana walifanikiwa kutengeneza Drama kama hii mwanzoni na Diamond akafunga safari hadi Zanzibar kwenda kumuomba Zuchu msamaha wakati ana perform live kule. Na hakika Drama yao ile iliwapaisha kupata public attention hasa kwenye social...
  3. Thabit Madai

    Inafikirisha sana sababu za Yanga kuachana Gamondi

    ...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo. Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo. Na hii...
  4. Singasinga

    Mpenzi wangu kaweka status WhatsApp ya kuachana na mtu ila si mimi

    Habari wakuu, Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi. Kuna haja ya kuhoji?
  5. Eli Cohen

    Ni hatua ipi ulifikia ya madhara hadi ikawa hamasa yako kuachana na uraibu au mazoea potevu uliyokuwa nayo??

    Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku. Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
  6. Kaunara

    Ndoa za wasomi zinaongoza kwa kuachana

    Kwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation. Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana ambaye ana elimu ya kawaida mtaishi vizuri. Hata msichana tafuta mwanauame mwenye elimu ya kati mtafanya...
  7. Pang Fung Mi

    Ricardo Momo apimwe Akili kwa kuachana na Malkia Cute

    Salalee, Malikia cute ni habari ya Dunia, ukishangaa ya Musa basi subiri uyaone ya Filauni, yaani Malkia cute anafaa kwa pigo zote daima mbele nyuma mwiko na, habari ya mjini usikose nyama, na mayai hutokea nyuma kwa kuku. Tuseme ukweli Malkia cute ni ameleta taharuki sana kwa ufungasho huo...
  8. Eli Cohen

    U.A.E waliamua kuachana na mrengo wa itikadi kali na siasa za fujo. Leo ni nchi ya kuigwa. Wenzao wamebaki kuwa wanaharakati wa mambo yasiyoeleweka

    Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache wanaodhania duniani wamekuja kuipigania dini na itikadi zao kwa hali na mali. Emirates waliiona...
  9. Gulugujatza

    Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

    Habarini za JIONI wakuu? Mimi ni kijana wa miaka 32 mnamo mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke kutoka Kanda ya ziwa{Tabora}..,nilimpenda sana na nahisi nae alinipenda japo siwezi semea nafsi ya mtu. Ilipofika 2020 alihitaji sana kukaa NAMI nyumba moja kama mume na mke..,kweli KUTOKANA na...
  10. Mel James

    Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

    Katika mahusiano watu hushindwana sana kwenye tabia, hapo hupelekea wapenzi kuachana. Ila sehemu za siri pia ni tatizo kubwa sana hupelekea watu wengi kuachana. Mfano nishawahi kuachana na msichana mmoja mrembo sababu ya harufu kali sehemu ya uke! Kuna watu washawahi kuachana sababu mmoja ana...
  11. FINANCIAL MARKET

    Vitu hatarishi vya kuepukana na kuachana navyo kabisa kabla hata mwaka 2024 haujaisha

    [.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha.... 1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media . Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji? . Zaidi ya 90% ni walaji. . Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine. ...
  12. W

    Sababu Mbalimbali za Wakongwe hawa kuachana na Muziki

    Baadhi ya Wasanii Waliowahi Kutangaza Kuachana na Muziki Suma Lee Msanii huyu aliyetamba na wimbo wake wa "Hakunaga" alitangaza kuachana na muziki 2015 na kuamua kumrudia Mungu. Alisema nyimbo zake zilizobaki studio zisimame na zisitoke tena. Mzee Yusuf Alitangaza kuachana na muziki mwaka...
  13. X

    China-US TechWar: Pentagon wakiri ni vigumu kuachana na huduma za Huawei kikamili

    Mwaka 2019 serikali ya Marekani chini ya aliyekuwa raisi wakati huo Donald Trump, iliweka sheria ya kutotumia huduma na vifaa vya Huawei katika idara nyeti za usalama wa taifa hilo. Sababu kuu ilikuwa ni kwamba usalama wa taifa hilo ulikuwa hatarini, ikidai kuwa China inaitumia kampuni ya...
  14. M

    Kuachana na mtu na kuanza kumtakia laana huo ni ushamba wa kizamani na kujipa jeraha lisilo la lazima

    Mahusiano ni mchezo wa kutafutana ambapo kwa washiriki wa mchezo huo wengi hawajui nani wanamtafuta ndio maana unakuta hawa leo wanapendana ila kesho wanaaachana kwa sababu kuwa hawaendani sasa swali ni je kama ulijua hamuendani kwnini ulimpa nafasi? Majibu ni mepesi kuwa wengi tunajua kuwa...
  15. W

    Ni kwanini hadi sasa Simba haijatangaza kumuaga Chama kwa heshima kama wachezaji wengine?

    Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa? Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao. Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu...
  16. GENTAMYCINE

    Asanteni Simba SC kwa kumsikiliza Maoni yetu kwa Kuachana na Msaliti Inonga, sasa tunasubiria 'Thank You' ya Msaliti mwingine Chama

    Hawa Wachezaji Wasaliti Wawili wametuumiza pakubwa dhidi ya Washamba na Malofa fulani hivi wa Kariakoo 'Twiga Street' ndani ya hii miaka miwili mitatu. GENTAMYCINE ambaye ni Mstaafu Tukuka wa Michezo Michafu ya Ligi Kuu ya Tanzania baada ya kuwepo katika Shughuli hiyo miaka ya 2011 hadi 2013...
  17. Mjukuu wa Magika

    Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri. Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa...
  18. A

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi. Cc: kataa ndoa
  19. F

    Kwa kweli ni wakati muafaka wa rais Samia kuachana na Paul Makonda, taswira ya rais wetu inaharibika kwa kasi sana.

    Sina uhakika kama mheshimiwa rais Samia anafahamu taswira anayojijengea mbele ya umma wa Watanzania kwa kuendelea kumpa Paul Makonda nafasi katika serikali yake. Kwa kipindi kifupi tu cha wiki moja tangu Makonda ateuliwe kuwa RC wa Arusha, mtizamo wa watanzania kuhusu rais Samia umebadilika...
  20. Optimists

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo. Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza...
Back
Top Bottom