Amnesty International imetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa wafuasi 36 wa chama cha upinzani cha Movement for the Renaissance of Cameroon (MRC) waliokaa gerezani kwa miaka mitano kwa kushiriki maandamano ya amani dhidi ya Rais Paul Biya. Wafuasi hao walihukumiwa kifungo cha kati ya mwaka mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.