Cameroon yapewa tamko kuwaachilia huru wafuasi 36 wa Upinzani

Cameroon yapewa tamko kuwaachilia huru wafuasi 36 wa Upinzani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Amnesty International imetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa wafuasi 36 wa chama cha upinzani cha Movement for the Renaissance of Cameroon (MRC) waliokaa gerezani kwa miaka mitano kwa kushiriki maandamano ya amani dhidi ya Rais Paul Biya. Wafuasi hao walihukumiwa kifungo cha kati ya mwaka mmoja hadi saba mwaka 2019 kwa tuhuma za "uasi" na "jaribio la uasi wa kijeshi

Mnamo Septemba 22, Amnesty ililaani kile ilichokiita kuwa ni mateso na kufungwa kiholela kwa watu hao nchini Cameroon. Hali imezidi kuwa ngumu wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa urais, ambapo mwezi Agosti wafuasi 54 wa MRC walikamatwa mjini Yaoundé baada ya ombi la mgombea wao Maurice Kamto kukataliwa, ingawa baadaye waliachiwa kwa dhamana

Hali hii inaleta wasiwasi mkubwa kuhusu uhuru wa kisiasa na demokrasia nchini humo, huku Umoja wa Mataifa pia ukionya kuwa raia huenda wakashindwa kuonyesha matakwa yao kwa uhuru. Rais Biya, mwenye umri wa miaka 92 na aliyeiongoza nchi kwa miaka 43, anagombea tena urais Oktoba 12 pamoja na wagombea wengine 11

========

Amnesty International has demanded the immediate release of 36 supporters of the opposition Movement for the Renaissance of Cameroon (MRC), who have been detained for five years for participating in peaceful protests against President Paul Biya

On September 22, the organization denounced what it describes as the arbitrary detention of these individuals, who were imprisoned for expressing their political views

The MRC supporters received sentences ranging from one to seven years in 2019, under charges of "rebellion" and "attempted insurrection."

This situation has escalated recently, with heightened repression during the ongoing presidential campaign. In August, 54 MRC supporters were arrested in Yaoundé after the rejection of their candidate, Maurice Kamto's, application to run in the elections. Although they were later released on bail, these arrests highlight a growing restriction on civic space in the country

The UN Human Rights High Commissioner has already raised concerns about the ability of voters to express their will freely

With the presidential campaign set to begin soon, President Paul Biya, 92, who has been in power for nearly 43 years, is once again seeking another term alongside 11 challengers, including opposition candidate Issa Tchiroma Bakary

Biya has spent nearly half of his life as president and is Africa's second-longest-serving leader, behind only Equatorial Guinea's Teodoro Obiang Nguema Mbasogo. If he wins an eighth seven-year term in the October 12 vote, he could govern until he's nearly 100

During his decades in power, the Central African nation, with a population of nearly 30 million, has struggled with challenges ranging from a deadly secessionist movement to chronic corruption that has stifled development, despite its rich natural resources, including oil and minerals

At least 43% of the country's citizens live in poverty, as measured by core living standards, including income, education, and health, according to UN estimates


Source : African news
 
Hii shirika sijaona kazi yake zaidi ya matamko. wanatoa leo tamko zaidi ya miaka mitano watu wapo gerezani wanateswa .kwnn wasichukue action imedetely km wamecomfirm kuna ukiukaji wa hak za binadamu
 
Hii shirika sijaona kazi yake zaidi ya matamko. wanatoa leo tamko zaidi ya miaka mitano watu wapo gerezani wanateswa .kwnn wasichukue action imedetely km wamecomfirm kuna ukiukaji wa hak za binadamu
Hiyo ni NGO tu haina mamlaka za vikwazo kushinikiza hatua kuchukuliwa, unataka ichukue hatua gani zaidi ya kupaza sauti hadi wewe umesikia kuna shida ndani ya kameruni
 
Back
Top Bottom