Jana kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche amemuacha tena kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Feitoto' na Jonas Mkude kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Sudan.
Hii inakuwa mara ya pili mfululizo kwa Feitoto kuachwa na Amrouche akitangulia kukosa mechi dhidi ya Niger na Algeria, wakati Taifa Stars...