Habari wanazengo
Nipo na gal tumedate since high school lakn recently nmekuja kugundua anaongea na mchizi mwingne na mchizi yupo very close na dogo.. nmejaribu kumkanya lkn naona dogo yupo attached.
Lakin kila ntakacho ananipa.. except to unajua mnshare romantic moments and presence na mshikaj...
[emoji24][emoji24][emoji24]Siku zote maumivu ya mapenzi, huwa ni zaidi ya maumivu ya kitu kingine chochote kile... Yaani haya ni zaidi ya maumivu... Ama kwa hakika... Kwani haya ni maumivu ambayo huja wakati ambao tayari umekwisha mpoteza mtu umpendae kwa dhati... Pengine... Zaidi hata ya neno...
Mkazi wa Kijii cha Ng’wandakw, Kata ya Haydom Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, Philemon Tandu (50) amefariki dunia kwa kujinyonga baada ya kuachwa na mke wake akiwa na watoto watano.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, kamishna msaidizi (ACP) Marrison Mwakyoma akizungumza jana alisema tukio...
Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wawili tu mpaka kufikia huu umri lakini kuna changamoto napitia naona inakuwa ngumu sana kucopy
Mwanamke wa kwanza
Huyu nilidumu nae ko mda wa mwaka mmoja tu nakumbuka kipindi icho nimehitimu kidato cha...
Kwanza kabisa tuwasikitikie vijana wote wanaodai ni wanaume huku wakilia kuachwa.
Inavyojulikana mwanaume haachwi bali anaacha au wanaachana na mke wake. Kwanini mwanaume hawezi kuachwa? Kwa sababu yeye ndio kichwa cha familia, uliwahi kuona tela likiacha kichwa nyuma? Hapana.
Tafsiri ya...
Wakuu salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Kiukweli unapoachwa na mtu uliekuwa unampenda sana maumivu yake ni makali mnoo.
Lakini pia kuna maumivu yale umeachwa halafu hukuwahi kula tunda na ulikuwa unahudumia kila kitu. Ila kwenye swala la kula tunda bado ulikuwa unazungushwa mpaka...
Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu! Hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea.
Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha...
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nikiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.
Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?
Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.
Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha...
Kuna dem alikuwa ananikubali mbaya na kazi zake anafanyia jirani na napoishi nikamuaproach dem akakubali na ni pisi kali sio poa, mwanzo alikuwa anapenda sana kuniita ofisini kila saa mara njoo nikuone usipoenda bac ananuna na vile vile anajua madem wa hapa home wananipenda mno nikaona niwe...
1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena.
2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia.
2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.