kuachwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infinite_Kiumeni

    Jinsi Ya Kupunguza Mawazo Baada Ya Kuachwa.

    Unapoachwa na mtu umpendaye inauma. Hasa ukifikiria kwamba huyo mtu mlikua mnaendana sana. Mlikua mnaelewana. Mawazo huwa ni mengi, lakini kitu kinachotokea ni kwamba unajikuta huwezi waza kitu kingine zaidi ya mawazo ya kuachwa. Kila ukiwaza unaumia. Unaona mambo ni mabaya kila sehemu, hupati...
  2. Webabu

    Wasudan wajiuliza kuhamishwa raia wa nje kuachwa wao wapigane kuna hekima gani

    Mataifa karibu yote duniani yenye raia zao Sudan wanashindana kuwakimbiza nchini humo. Imekuwa kama ni siasa kuwahi kuwaondoa raia hao kwa mbinu tofauti. Nchi inayochelewa kufanya hivyo kama kwamba inahofia kuingia matatani kwa wananchi wake huko nyumbani. Katika kuondoka huko kila nchi imekuwa...
  3. anti-Glazer

    Historia yangu ya mapenz. Niliachwa: ogopa sana kuachwa

    Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno. Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb kumekicha. Wanawak chuo ni wengi TU hats sielewi Kwa NN Binti wa kinyaturu akanitesa mtoto was watu...
  4. Mwachiluwi

    Kipenzi changu anatishia kuondoka

    Hello Africa Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulijuana tukiwa shule ya upili ni mda sasa tangu tuwe kwenye mahusihano sasa kila tukigombana anakunja nguo zake anataka kuondoka na mbembeleza sasa juzi tena tumegombana kakunja nguo zake kaondoka na mimi nimemuacha sija mbembeleza...
  5. GENTAMYCINE

    Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

    Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022? Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu...
  6. Ndondombi Mulin

    Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  7. K

    Wale wanaotamba "Najua kuacha sijui kuachwa" mara nyingi baadae huwa wasumbufu kwa wapenzi waliowaacha

    Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu. Nakumbuka nilikuwa na demu mmoja mzuri, ki ukweli huyu demu alikuwa mzuri Black beauty bonge la figure, halafu mara nyingi...
  8. Jbst

    Mapenzi ni upuuzi

    Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu! Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee! Unampenda mtu na kumjali na...
  9. D

    Kama kungekuwa na ligi ya kuachana ningekuwa naongoza kwa kuachwa

    Kwa kweli wana JF, mimi nina mikosikatika ishu ya mahusiano. Mahusiano yangu ya kwanza nilikutana na binti fulani hivi, mzuri sana ni binti la kinyaturu, mwanzoni mambo yalikuwa mazuri kweli, nikasema maisha si ndio haya. Ni kawa ninaongea naye vizuri kwenye simu, namchatisha sana, kwa kweli...
  10. opondo

    Wanawake wasilalamike kuachwa, wajiangalie tabia zao

    Nilifungua channel ya Arise and shine Mwamposa alisema ambao wanatafuta mchumba wasimame walikua wengi sanaa. Nikawa nawaza kwanini sasahivi kundi kubwa la wanaume hawataki kuoa? Na kwanini wanawake wanalalamika hawaolewi na vijana nao wanatafuta mabinti wa kuoa na hawapati? Kuna vitu nimeona...
  11. baharia 1

    Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

    Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana Betrayed Kuna wakati unapenda lakini bahati mbaya unayempenda hayupo tayari kwa upendo wala kuelewa hisia zako, inaumiza sana. Mbaya zaidi una cheatiwa na watu wa karibu inauma. Nimependa lakini naumia sana. Natamani itokee siku mpenzi wangu...
  12. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

    1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
  13. Bata batani

    Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

    Kuna msemo usemao dalili ya mawingu ni mvua. Sasa hebu tuambiane ukweli, pale unapogundua kuna dalili za kuachwa mpenzi wako au kuchokwa -- huwa unachukua hatua gani?
  14. M

    Sasa yale maumivu ya kuachwa alama 13 yataanza kupenya taratiiibuu

    Nafikiri Simba kuondoshwa kwenye michuano lilikuwa ni suala la muda tu kwa sisi tunaoujua mpira kiufundi tulijua mapema kwamba mwisho wa Simba ni hapo wasingeweza kutoboa kwa namna yoyote vile, mchezo uliishia kwa mkapa kule ilikuwa wanakwenda kukamilisha ratiba tu. Sasa wanarudi kwenye ile...
  15. The Garang

    Nimekubali kuachwa tena

    Nianze kwa kucheka kwanza. Hii stori naiandika kwa lugha isiyo Rasmi, lugha za kiujana ujana. Wayback nlikuwa na mamiloo, alinipenda ye then mie nikausoma mchezo tukawa wapenzi. Tumeenda miezi kadhaa penzi likaanza kumiss, nikajaribu boost boost haikuwa ridhiki likafa Baada ya kukaushiana tu...
  16. Darcyy

    Waachana siku tatu kabla ya ndoa

    Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo...
  17. Determinantor

    Kuachwa kunaumiza sana, asikwambie Mtu

    Nimeikuta mahali hii kitu, jamaa anaachika LIVE kisa maisha yamekua magumu. Wanawake Mungu anawaona.....
  18. T

    Nape ni aibu na fedhea kwa CCM, kuachwa kwake kutaleta aibu kubwa ndani ya CCM

    Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM. Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake...
  19. mocker

    Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

    Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1886756/ Apambo kwa kifupi ni kwamba sikua na mahusiano kwa...
  20. nzalendo

    Jifunze kumuacha aende

    • Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. MUACHE AENDE ! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi... MWACHE AENDE ! • Wewe ni...
Back
Top Bottom