Mkazi wa Kijii cha Ng’wandakw, Kata ya Haydom Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, Philemon Tandu (50) amefariki dunia kwa kujinyonga baada ya kuachwa na mke wake akiwa na watoto watano.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, kamishna msaidizi (ACP) Marrison Mwakyoma akizungumza jana alisema tukio...