Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu.
Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia.
Kwenye mafunzo yangu utajifunza:
📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini
🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika
💳 Namna ya kulipa salama
🚢...
Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia?
Alibaba.com ni moja ya mitandao mikubwa duniani ya wauzaji wa jumla ambapo unaweza kuagiza bidhaa kwa bei nafuu, kutengeneza brand yako mwenyewe (OEM), au hata kuanzisha biashara ya kuuza kwa mtandao (Dropshipping...
Uzi huu ni special kwa ma-street kings & queens wanaotaka kuvuka level kutoka kubeba mizinga mtaani hadi kuwa ma-ceo wa biashara zao. Ukitaka kufanya biashara ya maana, ya ukweli, lazima ujue namna ya kuagiza bidhaa kutoka China—land ya ma-deal legit kabisa. Sasa hapa nataka nikuweke kwenye game...
Nitaorodhesha kwa ufupi mambo 10 muhimu zaidi kuyajua kabla hujaagiza bidhaa kupitia app ya alibaba.
1. Usishawishike na udogo wa bei (bei chee) katika kuchagua bidhaa au supplier wa kufanya naye biashara.
2.Usichat na supplier halaf akakwambia mtoke alibaba yaani mchat whatsapp au wechat...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.