kuajiriwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Je? Kati ya umeme wa magari na umeme wa majumbani ni upi unalipa vizuri katika kujiajiri au kuajiriwa?

    Habarini wana jukwaa? poleni na majukumu. kama inavyosemeka kwa thread. Nataka kwenda veta kusomea kozi ndefu ya ufundi umeme kwahyo naombeni mnisaidie kimawazo ni umeme upi unalipa vzur sana sinto lala njaa kama nikibobea katika ufundi huo? Kuhusu kiwango cha elimu nina elimu ya form four...
  2. R

    Kwenu mnaotaka kusoma degree nje ya nchi kwa malengo ya kuajiriwa Tanzania, Kama chuo hakina umaarufu ni bora usome hapa hapa, Utateseka !

    Ninawajua watu kama kadhaa walioenda kusoma nje ya nchi miaka ya 2012 hadi 2015, Wamesumbuka sana kwenye soko la ajira imewabidi tu wakubaliane na matokeo kwa kujiendeleza na shughuli nyinginezo Kwenye ajira degree huwa ina uzito sana hivyo inabidi uwe makini kwenye uchaguzi wa vyuo, Masters...
  3. W

    Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  4. Y

    Natafta Kazi ya kuajiriwa

    niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n matatizo yalionipata mimi na kuamua ni kheri nitumie njia hii kuwafikia watu pengine naweza nikapata...
  5. Tlaatlaah

    Unamshauri nini kijana huyu wa zaidi ya zaidi ya miaka 40, ambaye hajaoa, hana mtoto wala ajira mpaka sasa anakaribia kutokua na sifa za kuajiriwa?

    My Friends, ladies and gentlemen, Heri ya mwaka mpya 2025. Kama hoja ilivyo wazi hapo mezani, nini mawaidha yako mwaka huu mpya wa 2025, kwa vijana graduates wa kike na wa kiume wa umri ambao nimeuanisha hapo juu, ambao bado wanaishi kwa wazazi wao, hawajaoa wala hajaolewa? Kumbuka pia kijana...
  6. RIGHT MARKER

    Tunabandikiwa matangazo ya ajira lakini tayari watu wa kuajiriwa wanafahamika.

    📖Mhadhara (73)✍️ Miongoni mwa mambo ambayo yanasababisha kutokuwepo kwa nidhamu, uadilifu, weledi, na ufanisi kwa wafanyakazi wa makampuni na idara mbalimbali ni kuajiri watu ambao hawakukidhi vigezo vya ajira (nafasi) husika. Sikuhizi undugu ndio umeshika nafasi kubwa sana kwenye suala la...
  7. Setfree

    Hii ndiyo “CV” ya Shetani. Hafai kuajiriwa popote!

    Watu wengi wanamsikia Shetani, na wanaamini yupo, lakini hawajui yeye ni nani, alitoka wapi, anafanya nini na malengo yake ni nini. Ifuatayo ni “CV” yake. Imeandikwa kwa Kiingereza. Ukiona lugha iliyotumika ni ngumu, google translator itakusaidia kupata tafsiri ya Kiswahili: Name: Satan (aka...
  8. Tabutupu

    TAMISEMI: Hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa

    Tamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa.. Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc. Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo...
  9. magwamaka

    Naomba msaada wa kuapata ajira

    Wapendwa habari ya kazi? Poleni na majukumu ,nina mdogo.wangu wa mwisho wa kiume alimaliza Udsm ,geography and Environmental degree yake akamaliza 2014 ,changamoto.ikawa ajira hakuna ametafuta sana Mwaka 2017 ikabidi tumchangie mtaji kama 5M ,akafanya biashara ya mpunga ikaenda sivyo mpaka...
  10. Yoda

    Ukisoma Degree ya Political Science (Sayansi ya siasa) unategemea kuajiriwa wapi bongo?

    Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu? Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
  11. Mwachiluwi

    Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

    Hello Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate...
  12. youngkato

    Umechoka Kuajiriwa? Hizi Ndo Njia za Kuingiza Pesa Ukiacha Kazi

    Watu wengi wanapata changamoto kubwa kwenye kazi zao za kuajiriwa — presha nyingi, malipo yasiyokidhi mahitaji, au kukosa muda wa kufurahia maisha yao. Umefikia hatua ambapo kila siku ya Jumatatu unahisi uzito wa kuamka, unaishi kwa kusubiri weekend, na unaota kuhusu siku moja kuacha kazi na...
  13. B

    NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

    Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
  14. R

    Maprofesa, na viongozi waandamizi Tanzania wanakwama kujiari kwa sababu ya kuwekeza fikra kuajiriwa hata wanapostaafu

    Siku viongozi wastaafu wataacha kuteuliwa kwenye nafasi mbalimba itawasaidia sana kujiandaa kustaafu kwa angaliu kuwa na kipato chakuwawezesha kuishi uraiani kwa miaka mitano Viongozi wengi waandamizi wa serikali wanaishi kwa kuhudumiwa kila kitu na serikali. Wakistaafu wanajikuta hawana...
  15. M

    Kuajiriwa CMA unahitaji kuwa na qualifications gani

    Ni vigezo gani mtu anayeajiriwa CMA anahitajika kuwa navyo
  16. Mparee2

    Mbadala wa kufanyiza waalimu mtihani kabla ya kuajiriwa

    Binafasi napendekeza badala ya kuwapa waalimu mitihani kabla ya kuajiriwa, kuwe tu na kigezo cha pass stahiki cha masomo atakayofundisha..... Sijui kwa nini umchague mwalimu wa Kiswahili & History (kwa mfano) mwenye ufaulu wa D kwa masomo husika wakati umeacha kuchukua mtu mwenye ufaulu wa B...
  17. Sean Paul

    Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  18. Doto12

    Hali ya umeme haijatengemaa maana kuna zima washa nyingi. Huku ndio kule kuajiriwa kwa kujuana

    Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku. Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime. Nikajiuliza inakuaje unafanyia majaribio kazi yako kwenye nyumba milioni za watanzania. Hakuna chumba cha...
  19. Xi jiping

    Kuajiriwa Tamisemi na Wizara kupi kuna maslahi na malupu lupu bora kwa mwajiriwa??

    Wataalaam Naomba majina
  20. Wizzdude

    Nani kakudanganya kuwa kuajiriwa ni utumwa?

    Ukiambiwa Kufuga kuku inalipa, kabla hujakimbilia Kufuga lazima ujiulize, anaeongea hilo ni nani? Je, ni muuza vifaranga, ni muuza vyakula vya kuku ama ni muuza nyama za kuku? Je, umewahi kusikia matajiri kama Mo, Bakhresaa, Bill Gates, Aliko Dangote, Mukesh Ambani na wale wa hapo mjini kwako...
Back
Top Bottom