Mdau mmoja amejiajiri na anaweza kupata sio less than 1m monthly. Wazazi hawaelewi wanataka aombe ajira. Yeye binafsi ndoto yake ni kuniajiri kwa sababu ya ujuzi wake na competence anaamini atacompete katika secta husika. Wazazi wanamuona kama failure maana emetokea katika jamii inayoamini title...
Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.
Sasa juzi hapa kanishauri...
Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner)
Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
Watanzania mnapowapigia kelele vijana wa jeshi la Polisi kwa kisingizio kwamba hawana akili na maarifa kwa kuwa waliajiriwa na D mbili mnapotoka. Nasema mnapotoka kwa sababu unapohukumu waliofeli lazima mtuambie waliofaulu wamefanya Nini?
Tunao Maprofesa na Madokta hapa nchini ambao baadhi...
Kwema humu?
Kama tunavyojua maisha ni magumu sana huitaji wa kazi umekua mkubwa sana mtaani
Nimeahangaika nikapata ajira kampuni flani hivi nimepewa mkataba ndio kwanza miezi mitatu lakini hii kazi inaelekea kunishinda
Kazi haina mapumziko,haina overtime kitu kidogo kazini unakatwa pesa...
WAZIRI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo inasubiri kibali cha kuajiri walimu 10,000 kabla ya Desemba, mwaka huu.
Akizungumza mjini Dodoma jana, Ummy alisema itakuwa mara ya kwanza Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) itahusika kuajiri...
Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi.
Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi...
NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA.
UTANGULIZI.
Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina idadi kubwa ya vijana ambao hawajaajiliwa pia bado kila mwaka idadi kubwa ya vijana wanahitimu...
Habari wakuu,
Baada ya kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda sasa bila ya kuyafikia maisha ya ndoto zangu, pia baada ya kuishi maisha nisiyopendezwa nayo (kukosa uhuru wa kipato) nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya hatma ya maisha yangu na kufikia maamuzi yafuatayo.
Mosi, kuna 4.3m PPF, hiki ni...
Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa...
WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NA VIJANA TUWAZE KUJIAJIRI KULIKO KUAJIRIWA.
Habari za wakati huu Watanzania wenzangu.
Leo nimeamua kuja kuandika chapisho hili ili kuweza kuwafungua akili wanafunzi wengi wa vyuo vikuu pamoja na wahitimu wa vyuo ambao hawana ajira waliopo mtaani wanaosubiri ajira...
Hii njia ambayo nitaianika hapa si njia rasmi na si njia ya kuweza kutumiwa kichwakichwa. Hakikisha suala la ajira na sifa kedekede unazitupa mbali, let's say vitakuja automatically.
Ningefanya upelelezi kwa kina, ningeweza hata kufanya jambo kwa muda wa mwaka mmoja ili nikusanye taarifa za...
Kuna tatizo sana kwa watanzania wasomi kuamini kuaijiriwa mpaka upate kazi serikalini. Hii mindset tunaweza kuiondoaje kwa wasomi? Mfano hai ni kwenye hizi ajira za walimu na wafanyakazi afya idadi kubwa imejitokeza kuomba ajira hizo na kupelekea kuonesha kuwa hapa Tanzania kuna tatizo kubwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.