Leo Agosti 25, 2022 Putin ametia saini amri ya kuongeza ukubwa Jeshi kutoka Wanajeshi Milioni 1.9 hadi Milioni 2.04 ikiwa ni miezi 6 tangu kuanza Vita baina yake na Ukraine.
Kwa mujibu wa agizo lililotolewa leo kupitia Wizara ya Sheria, ongezeko hilo linajumuisha ajira mpya za Wanajeshi 137,000...