kuanza biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara ya vifaa vya simu? Usikimbilie kununua mzigo kabla ya kujua haya!

    Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani! Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
  2. JamiiForums Tanzania Una mtaji na unafikiria kuanza biashara ya carpets rejareja? Kabla hujaanza, soma haya mambo 8—yanaweza kukuokoa kwenye hasara kubwa na kukusaidia

    Biashara ya kuuza carpets rejareja ni moja ya biashara yenye fursa nzuri, hasa kwa sababu watu wanahitaji carpets kwa ajili ya nyumba, ofisi, hoteli, saluni, maduka na maeneo mbalimbali. Lakini kama ilivyo kwa biashara nyingine, kuwa na bidhaa pekee haitoshi. Unahitaji kujua soko lako, kupata...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji unaofanana; agrovet na hardware ipi inafaida nzuri kwa mtu anayetaka kuanza biashara?

    Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya. Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa. Natanguliza shukrani
  4. JamiiForums Tanzania Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?

    Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…