Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa...
Wakazi wa pacha ya MBAE, MBAE NA MJIMWEMA tunateseka na vumbi kwa sababu ya barabara ni mbovu mno halafu hiyo barabara ni muhimu sana Kwa wanafunzi wa chuo cha TIA wanaokaribia kurudi mwezi wa kumi na licha ya hivyo chuo kimehamia Mjimwema huko lakini serikali ya mkoa wa Mtwara haina mpango wa...
Kwa kuzingatia kichwa cha uzi.
- Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri.
Serikali haina budi kuchukua uamuzi mara moja wa kutoa elimu ya katiba kuanzia ngazi mbalimbali za elimu yetu kwa kuanza...
Labda nikuambie tu Rais Samia kuna Uteuzi Mmoja wa Kimkakati umeufanya Jana ila sasa Umeshamsababishia matatizo Mhusika kwani kama hajarogwa awe Mweusi kuliko alivyo sasa ili Usiwe unamuona au Kumkumbuka kama yuko basi wanaweza Kumaliza Shughuli kabisa na hiyo 2025 asiione au akiiona atakuwa si...
Amani iwe nanyi Ndugu zangu Waamini wa dini ya Kiislamu.
Pokeeni Salamu kutoka kwa Ndugu wa Imani ya Mungu mmoja kwa muongozo wa Injili Takatifu na Mjumbe wake Yesu Kristo.
Mimi ni shuhuda wa wazi wa Imani yenu kwa sababu, Uungwana wenu umenipa fursa ya kuijua imani yenu Takatifu na kujifunza...
Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023
Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika
Mikoa mingine ni Dodoma...
Wasomi kweli kweli seminary zimetoa watu makini sina shaka hizi shule zilikua zinatoa division one form four na form six kama mvua discipline ya hatari disciples, mkikutana nao kwenye football wanawagonga darasani wanawacharaza, uthibitisho wa usomi wao.
1.Vyombo vya habari vimebanwa haswa...
GENTAMYCINE ambaye ni Shabiki tukuka wa CCM ( japo sina Kadi ya Uanachama ) nasubiri muongozo Wenu manake Mungu na Ukatoliki navitaka na Chama changu nacho nakitaka ila natakiwa nibakie na Kimoja tu.
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu...
Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi.
Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu
wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real...
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary (English medium) hadi secondary (both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano (UDSM ni kuanzia...
Madaktari Bingwa Dr. Eliasa Mkongo , Dr. Edwin Muhondezi. pamoja na Dr. Eric Muhumba (Surgeon) ambao ni Madaktari Bingwa wazawa Wakizungumzia Namna Uwekaji Puto Ndani Ya Tumbo unavtofanyika, watu gani wapaswa kuwekewa na Faida na Hasara Zake.
Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19.
Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika jitihada ya kuzibeba zifike group stage kirahisi.
Zamani ukiskia timu haianzii raundi ya awali ujue timu...
Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza kutumika logo ya 'X'.
Aidha, Musk amesema mwonekano wote wa Mtandao huo utakuwa umebadilika kufikia...
Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24.
1. Al Ahly SC 🇪🇬
2. Wydad AC 🇲🇦
3. Esperance 🇹🇳
4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦
5. Simba SC🇹🇿
6. Petro 🇦🇴
7. Tp Mazembe🇨🇩
8. Enyimba 🇳🇬
9. CR Belouizdad 🇩🇿
10. Pyramid FC 🇪🇬
Picha kamili tumeiona leo kwenye mechi dhidi ya kaizer chiefs, licha ya muda wa maandalizi kuwa mfupi na wachezaji wengine kuchelewa kuingia kambini bado wameonyesha ni timu imara na ya moto.
Mpira wa kasi ni falsafa ya kocha gamondi na ameonyesha mwanga ni nini anachotaka kwenye squad yake...
Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa.
Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.