Huenda haitazidi ijumaa ya kesho..
Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao walipata pesa tofauti na wanachodai na mkakiri kweli mahesabu hayakufanyika vizuri.
Baada ya katibu...
'Ukimchukua kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa au kidogo ni Taifa'' - Gavana Kaduma, Katibu wa CHADEMA kanda ya kusiniKwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastA
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa...
Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole.
Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.
Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa...
Hodi Hodi Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
dkt. samia
hodi
jamhuri
jamhuri ya muungano
kikazi
kuanzia
kufanya
mkoani
muungano
rais
rais wa jamhuri
ruvuma
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
ziara
ziara ya kikazi
Mjiandae..
Tayari baadhi mmeshaanza kuona mabadiliko katika account zenu. Utathibitisha Mkoa àmbao upo tayari kwaajili ya usaili, Kwa wale wale watakaofanikiwa kuendelea na Oral.
Kisha watakaofauli Oral watapangiwa vituo vya Kazi Kulingana na serikali itakavyoona.
Jiandaeni vizuri. Maswali...
Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa.
Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa.
Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au
Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
Jumla ya watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31 mwaka 2024, ambapo jumla hii ni kwa wale tu waliofika kwenye ofisi za ITV Mikocheni Dar es Salaam, na taarifa zao kutangazwa kupitia kipindi cha Yu...Wapi?.
Mgawanyo ya Watu waliopotea
Chini ya miaka 18 - 21 (Wanawake 8, Wanaume 13)...
pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika.
Katika Uchaguzi uliofanyika leo jijini Brazzaville nchini Congo, wajumbe 25 kati ya 46 wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO...
Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa.
Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana.
Wasiliana nasi kwa email...
One of our project at kibada kigamboni
We do building design
We do constrution at affordable price
We do consultation
Call /whatsap 0624004650
Office Sinza
Nikitazama namna ya maisha ilivyo sasa na inavyo enda nathubutu
kusema kwamba wazee wa kuanzia miaka ijayo 20 au pengine hata kabla
watakabiliwa na maisha magumu sana.
Hili nalitazama katika mambo matatu. Mosi ni wazazi wengi wa sasa
kukosa muda wa kuwa na watoto wao kwa ajili ya kutafuta...
Habari zenu wakuu.
Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.
Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga
Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia...
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.