kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

    Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp Ni mawazo Yangu tu Wait it Upo Pascal Mayalla ? Britanicca
  2. M

    Kuna gari ya Dodoma - Dar usiku kuanzia saa tatu usiku?

    Habar wadau hivi dodoma Kuna gari zakuondoka usiku wa saa tatu nakuendelea?
  3. Wakuu wa vita kuua watu kuanzia 300

    Miongoni mwa wafalme waliokuwa na nguvu sana kipindi hicho alikuwa mfalme Daudi. Nguvu kubwa na alikuwa mzee wa totozi sana lakini pamoja na hayo mungu alimpenda sana, kwa sababu gani? Ni kwa sababu alikuwa mnyenyekevu mbele zake. Ndiyo! Mungu hupenda watu wa aina hii, yaani unapokosea, ulijue...
  4. Haya wale Wazee wa Link hebu nipeni Link ya Kuangalia Mtanange wa Leo kwani Mtaalam wangu wa Zanzibar kaniambia nifurahi kuanzia sasa

    Kama unaijua Link yoyote ile ambayo itaonyesha huu Mtanange niwekee hapa kwani tayari Kazi imeshakwisha Zenji.
  5. Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
  6. Tafadhali visingizio vifuatavyo hatuvihitaji Kesho tarehe 8 August, 2024 kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku sawa?

    1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi 2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure 3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere 4. GENTAMYCINE alishasema kuwa Mwamuzi ni Shabiki mwenzenu hivyo tulijua tu tutakufa 5. Tumeshachoka kila mara...
  7. Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  8. U

    Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  9. Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

    Hello Jamiiforums Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu. Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na...
  10. DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  11. U

    Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  12. Pre GE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

    Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao. Akizungumza katika mkutano...
  13. Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  14. G

    Natafuta anayeuza Google-Play Console nifanye naye biashara

    Je ? Una google play console account. 1. Nanunua google play console angalau kuanzia mwaka 1 na kuendelea(chini ya mwaka tutazungumza). 2. Nanunua google play console yenye live app kuanzia 1 na zaidi,keystore&password na source code. 3. Nanunua google play console yenye live app bila keystore...
  15. Nchi za kiarabu zaipa meno Hizbullah. Zasema kuanzia sasa si kundi la kigaidi tena

    Katibu mkuu wa jumuiya ya kiarabu mwishoni mwa wiki hii ameitembelea Lebanon na kukutana na kiongozi wa chama kinachoiwakilisha Hizbullah katika serikali ya Lebanon Bwana Hossam Zaki baada ya kukutana na kiongozi huyo alifanya mahojiano na vyombo vya habari kikiwemo Alqahera cha Misri na kusema...
  16. Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

    Hapo vip!! Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi. Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo. 1. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea 2. Awe single mother au single kawaida. Kama unasifa zingine zitaje ili wajitambue.
  17. Sasa ndiyo utawajua Watanzania walivyo Wanafiki baada ya kwenda Kwako Nyavuni kuanzia Leo nao Wote sasa Watakugeuka na Kukucheka pia

    Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamebariki kifungo cha mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina cha kutohudhuria vikao 15 vya Bunge mfululizo kwa kosa la kumtuhumu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa alilidanganya Bunge kuhusu sakata la kuagiza sukari nje. Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  18. D

    SoC04 Maboresho katika eneo la Teknolojia kwa ujumla kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo

    Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi. Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili kufikia maendeleo endelevu na kuimarisha uchumi wa taifa. Teknolojia ina uwezo wa kuleta mapinduzi...
  19. Familia inayomuweka Marehemu kwenye Sanduku/Jeneza la kuanzia laki 3 kwenda Juu,hiyo Familia itakuwa na matatizo ya kiakili

    Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya! Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye...
  20. Maonesho makubwa ya mifugo na mnada kufanyika kuanzia 14-16 juni 2024

    Chama cha wafugaji kibiashara(Tanzania commercial cattle society) kimeandaa maonesho makubwa ya mifugo na mnada yatakayoanza tarehe 14-16 juni 2024. Yatafanyika katika shamba la Mbogo ranches lililopo Ubena zomozi, km kadhaa baada ya kutoka Chalinze. Shamba hilo lipo kando ya barabara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…