kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

    Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza...
  2. TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  3. Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

    TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
  4. B

    Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024

    21 January 2024 Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024, kufuatia mwaliko wa Rais wa...
  5. Rais Wallace Karia wa TFF hivi kuanzia aanze kuongoza pale TFF amefanya nini mpaka sasa?

    Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi? Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki...
  6. Nafasi za ajira Jeshi la Magereza kwa vijana kuanzia kidato cha Nne

  7. T

    Rais Ruto atangaza kuanzia Januari 2024 matibabu Kenya ni bure.

    Msikilize mwenyewe hapa. https://twitter.com/ntvkenya/status/1726228842904244275?s=19
  8. Hivi Wazee wetu wa kuanzia Miaka ya 70 hawa Mabinti wa 20's na 30's Mnaowaoa na Kuzaa nao huwa hampigiwi na hambambikiwi Watoto kweli?

    Hivi kweli jamani kwa haya Maisha yetu ya Kiafrika ( hasa Kitanzania ) huku Wazee wetu nao wakiwa na Changamoto mbalimbali za Kiafya kutoka na Umri wao huo kwenda wanaweza kuwa na Uwezo wa Kumbebesha Mimba Mabinti wa miaka kati ya 25 hadi 35 na Kuzaa? Je, hapa siyo kwamba hawa Wazee wetu wa...
  9. M

    Hospitali binafsi kutopokea kadi za NHIF kuanzia Januari 1 2024

  10. Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

    Habari zenu vijana (Mimi pia ni kijana) Kama upo ndani ya huo umri nilioutaja hapo juu nnaomba unisikilize Kwa makini hasa wale ambao wanajiona Bado ni wadogo. Sasa ivi wewe kijana upo katika umri wa kujijenga kiuchumi wewe pamoja na familia iliyopo kiunoni mwako Leo hii wewe tunakuita kijana...
  11. Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

    Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi. Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote. Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho. Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli Waefeso...
  12. Taasisi zote makini za kijamii huweka misingi imara ya itikadi zao kuanzia kwa watoto. CHADEMA jifunzeni kwa chipukizi CCM

    Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
  13. Liwe kosa la jinai kwa mtanzania yeyote kuanzia leo kusapoti magaidi wa Hamas waliomuua mtanzania mwenzetu, kifungo kiwe miaka 5 bila faini.

    Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa. Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi wa hamas baada ya kuyaona walichomfanyia kijana wetu wa Kitanzania ? HAPANA !! Ni toe rai kwamba iwe...
  14. Mwenge hakuna umeme kuanzia saa mbili asubuhi

    TANESCO mna agenda gani ya siri dhidi ya watu wa Mwenge? Umeme mlikata saa mbili asubuh, hadi sasa ni saa 00.35 usiku, umeme hakuna giza limetamalaki. Kwa upuuzi huu CCM imeshindwa kuisimamia vyema TANESCO iweze kutoa huduma bora. Kataa CCM uboreshe maisha ya Watanzania
  15. Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani. Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
  16. Foleni ni kali sana Nyerere Road (Pugu Road) kama huna safari ya lazima usitumie njia hiyo leo tarehe 09.12.2023 kuanzia mchana

    Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa. Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala. Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu...
  17. Hili hapa Jedwari la nauli kwa mabasi ya Masafa Marefu Tanzania kuanzia 8th December 2023

    Mambo yanazidi kuwa mazito waTanzania gharama za maisha zinapanda siku hadi siku. Sijui sisi wa hali ya chini kama tutaweza kumudu haya maisha
  18. Asilimia kubwa ya watoto kuanzia miaka 10+ wameharibika kimaadili

    ...
  19. Mvua za kujaza mabwawa ya umeme ndo nitabiriwa kuanza kuanzia Desemba 1?

    Tahadhari mvua kubwa mikoa saba nchini Dar es Salaam. Baadhi ya maeneo katika mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Morogoro na Mtwara yanatarajia kupata mvua juu ya kiwango kwa siku mbili kuanzia leo Desemba 1, 2023, hivyo wakazi wa maeneo hayo wameombwa kuchukua tahadhari. Hiyo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…