kuanzisha biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipondo Cha ugoko

    Umakini unahitajita sana unapotaka kuanzisha biashara ili kuepuka kuchoma pesa zako

    Wana jukwaa habari zenu! Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji) Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
  2. Powell Gonzalez

    Jinsi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Ngoja Mimi Leo nitoe njia ambazo Mtu anaweza kupata mtaji Kwa ajili ya Kuanzisha biashara ambayo anatarajia kuifanya. wote bila Shaka Tunakubaliana kuwa watu Wengi wapo na ideas nzuri Sana za biashara ambazo kama wakiweza kuzi-finance basi baada ya miaka Kumi tungeweza kuwaita mabilionaire,Ila...
  3. ChampN199

    Naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki. Nini faida na hasara zake?

    Habari Wana forum, Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri...
  4. Azniv Protingas

    Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara

    Unapoanza biashara, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuongeza uwezekano wa mafanikio. Kuanzisha biashara ni hatua kubwa na yenye changamoto, lakini pia inaweza kuwa fursa nzuri ya kufanikiwa na kufikia malengo yako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati unapoanza biashara: 1...
  5. Gudasta

    Muongozo wa kuanzisha biashara ya vitabu kwa Taasisi za elimu ya juu

    Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali. Vibali husika vya biashara Kodi za bandarini na tra kwa...
  6. Zakaria Maseke

    Hatua za kuanzisha biashara binafsi au ubia (procedures for establishing a sole trade & partnership business) in Tanzania

    Kuna aina nyingi za kufanya biashara (there are so many forms of doing business) kama vile biashara ya mtu mmoja (sole trade), biashara ya ushirikiano (partnership), vikundi, kampuni, trust n.k. Kwenye hili andiko nitaongelea mchakato wa kusajili biashara binafsi na biashara ya ubia...
  7. I

    SoC02 Lengo la kufanya biashara au kuanzisha biashara

    kwanini tunafanya biashara? Mfanya biashra ambae hufanikiwa ni mfanya biashara ambaye huanzisha biashara akiwa amejiwekea malengo yake binafsi. Malengo aliyojiwekea mfanya biashara ndicho kitu pekee kitakacho mfanya au kitakachoonyesha kuwa mfanya biashara huyo amefanikiwa atafanikiwa. Ni kweli...
  8. Malle_Hanzi

    SoC02 Azam Tv ni Funzo tosha kwa Wajasiliamali na Wafanyabiashara wanaotaka kuanzisha biashara

    Na Malle Hanzi _______ Mwanzoni mwa miaka ya kuanzia 2010 kuja 2020, Tanzania ilibadili mfumo wa urushaji wa matangazo ya vituo vya Luninga kutoka Analojia kwenda Dijitali. Sababu kuu ya kuhama kutoka Analojia na kwenda mfumo wa Dijitali ni upungufu wa masafa (frequency) uliotokea kuanzia...
  9. senzoside

    Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Habari wanajukwaa hili la biashara! Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
  10. perky

    Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya bakery Arusha

    Nina idea ya hiyo biashara soko lipo Ila mtaji changamoto mwenye uhitaji mawasiliano 0677603842
  11. Mr sule

    Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

    Habair wanajamii Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba. Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
  12. MPINGA UKAWA

    Nafikiria kuanzisha biashara ya kuwauzia maziwa viwanda vinasindika maziwa kama vile Tanga fresh na vinginevyo

    Wakuu nawasalimu Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga fresh ,shambani milk na vinginevyo hata vidogodogo vyenye uwezo wa kuchukua kuanzia lita 50 Hadi 100...
  13. Aliko Musa

    Hatua 5 za kuanzisha biashara ya mikopo ya ukarabati wa majengo ya kupangisha mwaka 2022

    Mikopo ya ukarabati wa nyumba ni moja ya njia za kutengeneza fedha kupitia uwekezaji wa nyumba za kupangisha unaoweza kujenga utajiri mkubwa. Katika kila halmashauri kuna nyumba za kupangisha. Nyumba zinaweza kuwa ni nyumba za makazi, nyumba za matumizi mseto (mixed-use properties) na nyumba za...
  14. Equation x

    Unatakiwa ujitambue kundi uliopo kabla ya kuanzisha biashara

    Wengi wanatamani kumiliki biashara kubwa kubwa, lakini mwisho wa siku wanakuwa ni watu wa kutamani tu, wakianzisha biashara kesho watafunga na wataamia nyingine na mwisho wa siku hakuna biashara tena. Ni vizuri kufahamu makundi haya, na pia kujitathmini:- Wafanyakazi Hawa ni waajiriwa na...
  15. Fall Army Worm

    Nataka kuanzisha biashara ya kuuza soda, naomba ushauri

    Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi... Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja. Mwenye uzoefu na biashara hii naomba anijuze kuhusu mtaji, faida na changamoto za biashara hii. Aidha kama kuna maujanja...
  16. E

    Oven ya deki tatu inauzwa

    Jiko la deki 3 ,trey 9 linauzwa, kwa wenye nia ya kufungua bakery ama baking zozote ni jiko zuri sana ni jipya halijawahi kutumiwa, bei mil 5 ,tuwasiliane no.0777482509.karibuni ulimwengu wa wajasiriamali.
  17. CONTROLA

    Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

    1. Kapata Pesa za Ghafla Hapa kuna wale wenzangu wa michezo ya bahati na sibu au kuna mirathi,kuuza kitu flani nk nk,hawa watu mara nyingi biashara huiwaza angali ameshika pesa,alikua hana hata mpango wa biashara ila kwakua kapata pesa na watu waliomzunguka wengi marafki majiran n...
  18. Website design

    WAZO LA BIASHARA : Njoo uwekeze katika wazo hili la biashara linaloenda na wakati wa kisasa uendeshaji wake ni rahisi sana

    Habari Mimi ni mtaalamu wa masuala ya I.T Nimefanikiwa kutengeneza mobile apps za food delivery kama ambavyo ilivyokuwa inafanya kazi jumiafood au ubereats Hapa kunakuwa na apps 3 ambazo ni 1.application ya mteja anaye order chakula 2.application ya mmiliki wa restaurant ambaye anakuwa...
  19. M

    Hatua za kuanzisha biashara

    🏃‍♂️ HATUA YA 2 YA BIASHARA ✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara. 🔽 Hatua ya pili ni kitafuta ujuzi wa biashara uliyo ichagua, kujifunza ni muhimu sana kuliko hata mtaji, make...
  20. M

    Hatua za kuanzisha biashara

    HATUA ZA KUANZA BIASHARA 🖊️ Biashara ni kitu kizuri ila kinaweza kuwa kitu kibaya( itategemea na matokeo uyapatayo) 🎤 Ukizngatia hatu muhimu 10 biashara itakuwa ni kitu kizuri kwako *. 1. Kuwa na wazo zuri la biashara* 💧 Jambo la kwanza ni kuwa na wazo la biashara ambalo litakufanya wewe...
Back
Top Bottom