Tatizo la ajira linazidi kuwa janga kubwa sana afrika na dunia na soko la ajira zitazidi kuwa baya zaidi miaka kadhaa baadaye baada ya dunia kuendelea kuamini juu teknolojia ya roboti kuliko binadamu katika kufanya kazi kwa weledi , kulalamika tu kwamba tumesoma na hakuna ajira huku tukiendelea...
Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni.
Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo?
Kwenye hii biashara ya usafi.
1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo.
2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo.
3. Amua kujenga mahusiano...
Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini.
Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika.
Shukran.
Sitausahau mkopo wangu wa kwanza kabisa. Ndipo nilipoanza kushika mamilioni, ilikuwa September 2016. Basi nikanunua kiwanja kimoja na pesa nyingine nikaiingiza kwenye biashara ya duka la vitu mchanganyiko.
Aisse biashara ilinikataa kabisa. Duka la milioni kadhaa mauzo elfu 20 per day. Mwisho wa...
Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi...
Nahitaji kuanzisha biashara ya wine inayotengenezwa kwa kutumia asali.Naombeni ushauri maoni au taarifa yoyote inayoweza kunisaidia katika hii biashara ninayotarajia kuanza
Awali ya yote Napenda Kushukuru na Kupongeza Jukwaa kwa Mawazo Elekezi.
Naomba nielimishwe/nijulishwe juu ya Biashara ya Stationaries kwa ujumla, (Uuzaji wa Tonner, Karatasi, madaftari, peni, Office equipments, Photocopies) nakadhalika.
Natamani kusikia kwa mtu anaefanya hii biashara, Mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.