kuanzisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red Giant

    Moja ya jambo bora kufanywa na Magufuli ni kuanzisha kiwanda cha sukari Bagamoyo

    Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani 700,000 lakini uzalishaji ni kama tani 400,000. kiwanda cha Bakhresa kinategemewa kuzalisha tani...
  2. jollyman91

    Serikali ya Kurdistan yalaani mkutano wa Erbil wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya eneo la Kurdistan la Iraq lenye utawala wa ndani sambamba na kusisitiza kuwa, itawachukulia hatua watu walioitisha na kuandaa mkutano wa jana wa Erbil kwa kupotosha malengo ya mkutano huo na badala yake kuwa ni kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel...
  3. A

    Je naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza

    Naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza
  4. TheDreamer Thebeliever

    Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

    Habari wadau, Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja...
  5. Nijosnotes

    SoC01 Orodha ya startups Tanzania na mawazo ya kuanzisha startups mpya

    Habari wana Jf, kama kichwa cha habari kinavyojeleza, lengo la uzi huu ni kuwa endelevu, kuorodhesha startups mbalimbali na mawazo mbalimbali ya kuanzisha Startups hapa Tanzania ili kuletata hamsa ya ukuwaji wateknolojia yenye kuleta faida kwa jamii yetu na ulimwengu kwaujumla. Kwanini...
  6. E

    Wazo la kuanzisha Tanzania Mechanical Engineers association (TME)

    Kila nikitazama mwenendo wa fani mbalimbali katika nchi yetu ninaona upo umuhimu mkubwa wa wataalamu kuanzisha umoja kwa wana taaluma mbalimbali kuweza kukaa pamoja kujadili changamoto na fursa zilizoko katika taaluma yao ili kwa umoja wao waungane kuleta maendeleo katika taaluma yao na Taifa...
  7. S

    Kumbe Askofu Gwajima anaweza kuanzisha chama cha siasa na kikawa na nguvu kuliko CHADEMA

    Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii...
  8. mwanateknolojia

    Jinsi gani ya Kuanzisha kiwanda kidogo cha Sukari?

    Wadau Habari Za wakati huu! Niende moja kwa moja kwenye maada, nimekuwa nikifanya survey katika maeneo flani huko mikoa ya nyanda za juu kusini na kugundua kuwa kuna malighafi nyingi ya miwa. Hivyo nimepata wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha sukari. Hivyo naomba wenye ujuzi na hatua za...
  9. Umuzukuru

    Tulio tayari tuungane kuanzisha kikundi cha muziki

    Habari wakuu natumaini mko poa na wazima wa afya Niende kwenye mada husika Kuna msemo usemao kuwa "umoja na nguvu na utengano ni udhaifu" hivyo basi mimi kama kijana Mwenye ndoto na malengo ya kujikomboa kimaisha kupitia fani ya Muziki kuna wazo limenijia la kutafuta watu ili tuweze...
  10. C

    Je, ni kweli kwamba nchi za Magharibi zinatengeneza makundi ya kigaidi kwa makusudi?

    Mara nyingi ninapofuatilia mijadala inayohusu ugaidi, kuna kambi mbalimbali za mawazo. Wengine wanasema ( mfano"Mashehe wa Uamsho" au "Watuhumiwa halisi wa ugaidi Tanzania")"Hakuna ugaidi, ni propaganda za nchi za Magharibi tu", . Wakati utetezi huo ukisemwa, tunaona kweli vurugu na mauaji ya...
  11. Website design

    WAZO LA BIASHARA : Njoo uwekeze katika wazo hili la biashara linaloenda na wakati wa kisasa uendeshaji wake ni rahisi sana

    Habari Mimi ni mtaalamu wa masuala ya I.T Nimefanikiwa kutengeneza mobile apps za food delivery kama ambavyo ilivyokuwa inafanya kazi jumiafood au ubereats Hapa kunakuwa na apps 3 ambazo ni 1.application ya mteja anaye order chakula 2.application ya mmiliki wa restaurant ambaye anakuwa...
  12. Shujaa Mwendazake

    Waziri Kabudi: RITA Kuanzisha mfumo wa usajili wa ndoa kwa njia ya Mtandao

    Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa. “Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
  13. MSAGA SUMU

    Leo ni siku ya 191 kwenye mwaka huu, kitu pekee walichofanikiwa Chadema ni kuanzisha mikutano Twitter

    Hamna CCM imara kama upinzani ni dhaifu, Chadema fanyeni kujitahidi hili kuleta amsha amsha ndani ya nchi. Kwa kifupi mtu akisema Chadema imepoteza dira anakuwa yuko sahihi sana. Ebu tujikumbushe baadhi ya vitu vilivyofanywa na Chadema mwaka huu. Kuwatoa wabunge 19 bungeni (hapa chadema...
  14. Kidagaa kimemwozea

    SoC01 Jinsi ya kuanzisha duka mtandaoni

    Kwa mana rahisi tunaweza kufasili duka la mtandaoni kuwa ni jukwaa maalumu kwaajili ya kuuzia bidha au huduma mtandaoni. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni Amazon, Ebay, Jumia market, na Kikuu .Bidhaa unazoweza kuzifungulia duka mtandao ni, vitabu, vifaa umeme, mavazi na kadhalika. Zipo faida...
  15. L

    Kuanzisha Duka la vifaa vya umeme na Plumbing

    Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
  16. M

    Hatua za kuanzisha biashara

    🏃‍♂️ HATUA YA 2 YA BIASHARA ✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara. 🔽 Hatua ya pili ni kitafuta ujuzi wa biashara uliyo ichagua, kujifunza ni muhimu sana kuliko hata mtaji, make...
  17. Red Giant

    Kampuni inaweza kuanzisha ligi ya mpira wa miguu tofauti na hii iliyo chini ya TFF?

    Habari wakuu, Hapa namaanisha kampuni inataka kuwekeza kwenye mpira wa miguu. Inatafita viwanja vyake, kwa kukodi au kwa kujenga. Kisha inatafuta timu na kuanzisha ligi yake. Mapato ya mlangoni na haki za matangazo inachukua. Yaani kampuni inaendesha kila kitu, inakuwa haiko chini ya TF wala...
  18. M

    Hatua za kuanzisha biashara

    HATUA ZA KUANZA BIASHARA 🖊️ Biashara ni kitu kizuri ila kinaweza kuwa kitu kibaya( itategemea na matokeo uyapatayo) 🎤 Ukizngatia hatu muhimu 10 biashara itakuwa ni kitu kizuri kwako *. 1. Kuwa na wazo zuri la biashara* 💧 Jambo la kwanza ni kuwa na wazo la biashara ambalo litakufanya wewe...
  19. Mboka man

    Ni sehemu gani Dar affordable kuanzisha maisha ukiwa na familia yako?

    Wanandugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu Hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu...
  20. O

    SoC01 Kwanini ni muhimu sana kuajiriwa au kujitolea kwanza kabla ya kuanzisha Biashara yako

    Tatizo la ajira linazidi kuwa janga kubwa sana afrika na dunia na soko la ajira zitazidi kuwa baya zaidi miaka kadhaa baadaye baada ya dunia kuendelea kuamini juu teknolojia ya roboti kuliko binadamu katika kufanya kazi kwa weledi , kulalamika tu kwamba tumesoma na hakuna ajira huku tukiendelea...
Back
Top Bottom