Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.
Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara.
Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa...
Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho za kuanzisha shule maalum za michezo, za msingi na sekondari, katika mikoa yote nchini lengo likiwa ni kuwa na shule na vituo maalum vya kuendelezea vipaji vya michezo (sports academies).
Akizungumza kwenye Sherehe za kufunga mashindano ya Michezo na...
Habari wakuu,
Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake.
Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
For mobile money companies to convert more transactions from cash to digital, they need to segment the market more effectively. "The P2P transaction fee business model does not address all the use cases," said Ahmad, Azampay CEO. While virtual goods such as airtime, TV payments and electricity...
Habarini wakuu.
Nimekaa nikawaza. Binafsi napenda sana kucheza soka la kujifurahisha.
Nimekaa nikawaza tunaweza humu watu kadhaa tukajipanga tukaja na timu yetu ya maveteran umri kuanzia miaka 27 kwenda mbele ambapo tutajipanga na kukubaliana kwa lengo la kutafuta mechi za kirafiki na timu...
Habarini Wana MMU,
Nimekuwa nikijaribu kufikiria hii kauli ya "mke sio sura bali tabia" na matumizi yake,wengi hasa vijana wa siku hizi wanaichukulia kauli hii kama kauli iliyopitwa na wakati hasa kwa kuwa vijana wengi siku hizi ni wazee wa pisi kali wakiamini kuwa na pisi kali au smart...
Ahsante sana mama yetu mheshimiwa rais kwa kuanza kuja maeneo yetu sisi wananchi wako kututembelea, tumekuona na umesikia na kufahamu adha mbalimbali tunazopata na hata kuwachukulia hatua watendaji mbalimbali ambao hawaleti ubunifu katika kutatua kero zetu au hata kuongeza ugumu wa maisha...
Nilimsikia Rais wetu mpendwa Mama Samia akisema tuanzishe Benki ya Vijana. Kwa kuwa alileta wazo, basi mimi naongezea katika wazo lake, Benki zilizopo zinatosha, ila serikali iweke dirisha maalum kwa ajili ya vijana.
Nina maana kwamba, kama serikali ilipanga kutumia bilioni hamsini kuanzisha...
Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni.
Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo?
Kwenye hii biashara ya usafi.
Wakubwa zangu habari ya majukumu?
Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tanzania Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa Chuo cha Mwika ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule kwa...
Wana jamii kama kuna kipindi kizuri cha kuanzisha chama cha kisiasa na kupata wafuasi ni sasa, kwa sababu zifuatazo;-
Kuna tofauti ndani ya chama Tawala na ndani ya vyama vya upinzani; CDM, CUF na ACT si shwari, ndani ya CCM kuna msuguano mkali wapo wanaopenda kuona mabadiliko km alivyoanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.