kubadilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kozi ipi nzuri kwenye soko la ajira?

    Habari wana jukwaa.. Natumai mko poa, niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu. mimi ni mwalimu niliyehitimu katika shahada ya ualimu mwaka 2015 katika masomo ya chemistry na mathematics ambae bado sijapata ajira. Nahitaji kubadili fani kwenda kusomea kati ya kozi zifuatazo; 1. Diploma in...
  2. L

    Mwenye kufahamu kuhusu kubadilisha jina kwenye NIDA Kwa mtumishi wa umma

    Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
  3. adriz

    Mchakato wa kubadilisha combination na shule kwa waliomaliza kidato cha Nne mwaka huu umeanza tayari

    Habari za mchana Wana Jf. Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
  4. MK254

    Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

    Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa.... Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini...... Saudi Arabia is likely to bend its laws...
  5. February Makamba

    Hivi serikali haiwezi kubadilisha mtaala tukatumia wa Cambridge international?

    Yahoo! Imeshathibitika pasi na shaka kuwa huu mtaala wa elimu aliotuachia mkoloni hauna manufaa yoyote kwa mtu mweusi, unazalisha wajinga na waoga na masikini wa fikra. Ni heri mtu asisome (aishie darasa la 3 tu ajue kusoma na kuandika) kuliko hawa wanaomaliza mpaka degree na wengine masters na...
  6. kavulata

    Kubadilisha mitaala yetu ya elimu vyuo vikuu ni kazi ngumu sana isiyowezekana

    Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
  7. D

    Msaada wa mawazo: Kubadilisha nyumba ya makazi kuwa gesti

    Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
  8. Execute

    Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini

    Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo. Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika...
  9. The Sheriff

    Uwekezaji Katika Elimu ya Msichana Unaweza Kubadilisha Dunia Nzima

    Uwekezaji katika elimu ya msichana unaweza kubadilisha jamii, nchi na dunia nzima. Wasichana wanaopata elimu wana uwezekano mdogo wa kuolewa wakiwa chini ya umri na wana uwezekano mkubwa wa kuishi maisha yenye afya na yenye mchango mkubwa kwa jamii. Elimu kwa binti ni suala kubwa zaidi ya...
  10. highland

    Vitabu bora sana vinavyoweza kubadilisha maisha yako

    Wakuu habari...
  11. Roving Journalist

    Tamko la TAPO la Wanawake na Wasichana: Haturidhishwi na kasi ya mchakato wa kubadilisha Sheria ya Ndoa

    TAMKO LA TAPO LA WANAWAKE NA WASICHANA KUHUSU MCHAKATO WA MABADILIKO YA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971 Ndoa za utotoni ni tatizo kubwa nchini Tanzania linalo sababisha wasichana kutotimiza ndoto zao hasa za kielimu. Ndoa hizi mara nyingi husababishwa na hali duni za kimaisha, mila na desturi...
  12. K

    Kamati ya kubadilisha Polisi isikilize wananchi kwanza!

    Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya 1. Polisi kuingilia chaguzi. Tumeona Kenya mfano mzuri wa kuiga 2. Rushwa 3. Unyanyasaji 4.kupendeleana kwenye vyeo 5. Mafunzo
  13. BARD AI

    Kwanini viwango vya kubadilisha fedha vya nchi za Afrika Mashariki viko juu sana?

    Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda. Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
  14. Chachasteven

    Kajala yupo tayari kubadilisha dini kwa sababu ya penzi la Harmonize

    Nimeiona hii nikaona isinipite nishee na wenzangu. Hivi, kama mtu atasaliti dini, kumsaliti binadamu mwenzake je? Full story
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    Utofauti wa dini ulivyonifanya nikamkosa wife material, nataka kubadilisha dini je, nimerogwa?

    Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia, Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Wanaohitaji kubadilisha Chinese Yuan kwenda Tsh au Tsh kwenda chinese Yuan kwa bei poa wanitafute

    Habari, Wanao hitaji kubadilisha Chinese Yuan kwenda Tsh au Tsh kwenda chinese Yuan kwa bei poa wanitafute. Mawasiliano yangu: 0747744895
  17. Impimpi

    SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
  18. Valencia_UPV

    PENDEKEZO: Tozo ya Kubadilisha pesa za Kigeni!

    Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini. NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
  19. M

    SoC02 Jamii na Teknolojia katika kubadilisha maisha yetu

    MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA PROFESSIONAL: IT specialist -Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
  20. D

    Serikali, huu ndiyo muda muafaka wa kubadilisha sheria za wafanyakazi; Nyongeza ya mishahara iwe ni kwa wafanyakazi bora au maalum tu

    Naomba kutoa Rai kwa serikali! "Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out! Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI wajibu wa mfanyakazi ni kufanya kazi bora ili mwajili awe na sababu ya kulipa ujira huo hata Zaidi...
Back
Top Bottom