Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Francis Michael, amesema Mabadiliko ya Mitaala ni swala pana ambalo linatakiwa liangaliwe kwa Upana wake. Katika Kufanyia Elimu Mageuzi unaanzia kwenye kubadilisha Mitaala. Ameyasema hayo wakati alipopokelewa Dodoma kwenye Ofisisi za Wizara...
Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.
Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.
Je, naweza kuroot hiyo operating system
Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu .
Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka
Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu
they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga...
Wadau kwema
Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili...
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ushirikiano wake na Korea Kusini imeanzisha mkakati wa kuhakikisha inabadilisha mifumo yake upangaji, utumiaji, upimaji na uwekaji kumbukumbu za sekta ya ardhi kutoka analogia kwenda digitali ili kuboresha sekta...
Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na kuwa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing itamalizika leo, tarehe 28 Februari. Mandhari zinazobadilishwa ni pamoja na maeneo 9 ya maua, picha 60, bendera elfu 18...
Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi.
Tulimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, wakati alipotuahidi kuwa atafanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri na kusema wazi kuwa amegundua kuwa kuna baadhi ya mawaziri wameaanza kampeni kuwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025 na akaendelea kusisitiza kuwa hao mawaziri atawaweka pembeni...
Heri ya mwaka mpya.
Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari.
Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana
Mwl Wenyele
Habari ya majukumu wadau.
Baada ya kuagiza gari used kutoka Japan ilipofika nchini nilibadilisha engine oil na ATF. Kwa maelezo ya wataalam (garage) ambako nilifanyia service walinishauri kubadili ATF baada ya kutembea angalau 50k kilometres.
Hadi sasa nimetembea 20k kilometres na kwa sababu...
Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa, endelea kufanya yote kwa bidii, maarifa bila kusahau kuomba na kushukuru.
Twende kwenye maada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.