kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ofa kubwa ya Mashine za Photocopy

    OFFER KUBWA YA PHOTOCOPY MACHINES Ndugu zangu changamkieni offer hii mapema hasa kwa wale wenye stationary au wanaotaka kuanzisha biashara hio...hizi machine ni nzima zilikuwa kwenye office mahali, hiyo office imefungwa kwasasa kutokana na kukosa usimamizi wa uhakika. Machine zipo Dar es...
  2. Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

    Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
  3. Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

    Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
  4. S

    Kafulila utuelewe; hatukatai kununua umeme japo tuna ziada ya uzalishaji; hofu yetu ni kuambiwa tuna transmission cost kubwa na mbadala ni Ethiopia

    Nadhani hawa watu wanaojiita viongozi wetu aidha wana tatizo la kujieleza, au wanapenda kufanya mambo kwa kuficha ficha vitu. Sasa huyu Kafulila, ambaye siku hizi amejifanya msemaji wa serikali au Raisi Samia, anauliza kuna ajabu gani Tanzania kununua umeme toka nje wakati tuna ziada, akitoa...
  5. Kumbe Mtangazaji Mchambuzi Hans Rafael Kiburi chako chote cha Unazi wako ni kwakuwa umepata Ofa Kubwa Azam Media na karibuni unaachana na Crown Media?

    Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo. Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika zinaeleza kuwa Hans amepewa ofa nono na Azam Media, jambo lililomsukuma kuomba kuondoka Crown FM...
  6. Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

    KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius! Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
  7. Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini: Twende kwa Kasi Kubwa

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA Kumbukumbu: Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
  8. R

    Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  9. “Pepsi Yageuka Superpower: Ilivyokuwa na Jeshi Kubwa Kuliko Mataifa Madogo!”

    Katika miaka ya 1980, Urusi (wakati huo ikiwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti) ilifikia makubaliano ya kipekee na PepsiCo kwa sababu ya matatizo ya kigeni ya kubadilisha fedha (foreign exchange restrictions). Umoja wa Kisovieti haukuwa na upatikanaji rahisi wa dola za Kimarekani kwa ajili ya...
  10. R

    Taja watu kwenye series waliokuwa sababu kubwa ya kuharibu kila kitu

    My list - Snowfall - Alton alikuwa teja lakini familia yake ikamkubali upya, matokeo yake akaanza kusnitch, huyu mzee hana shukrani na kasababisha anguko kubwa sana la Franklin - Prison Break - (T BAG ) aiseee !! huyu jamaa ana tamaa vibaya mno ukiongeza na ukatili wake kachangia sehemu...
  11. Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

    Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
  12. Kwa kizazi hiki wazazi tuna kazi kubwa

    Kwanza niwape pole walimu na pia wale wote waliohusika hadi kutufikisha hapa na kutupa uelewa kupitia wa elimu.Miaka ya 90 watu walisoma wakubwa lakini walikuwa watiifu sana wa kufata maelekezo na pia adabu kwa wakubwa lilikuwa si ombi bali ni lazima uliweza adhibiwa na yoyote ili miradi...
  13. Kampuni ya GSM inapata Faida gani Kubwa kiasi kwamba kila mara inatoa Misaada ya Fedha na Kampuni zingine kama MeTL haziwezi na hazitoi Misaada?

    Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua?
  14. M

    Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

    Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani. LIST YANGU: 1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci. 2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI Ushimen, KENZY...
  15. T

    General OMEGA. Siri kubwa ya M23. Maandalizi ya kumkabidhi serikali ya Rwanda

    Aliekuwa kiongozi wa kundi la waasi la FDLR, General OMEGA, siku za nyuma, baada ya handaki aliyokuwemo na wenzake kulipuliwa na M23, na kusababisha vifo vya badhi ya walinzi wake, na kuhisiwa kuwa na yeye amefia katika shambulio hilo, alikamatwa na M23 na kuhifadhiwa kwa siri kubwa. Msemaji...
  16. KERO Kata ya Kijombe (Njombe) bado uhaba wa Maji ni tatizo kubwa, Mamlaka ya WANGIWASA fanyieni kazi hii

    Licha ya sisi Wananchi kulalamika kila mara lakini ni kama Mamlaka zinazohusika zimeziba masikio, kwa kuwa haitusikii, wanatatuaje kilio chetu. Kwenye kata yetu ya Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe hapa Njombe uhaba wa maji ni kilio kikubwa kwa baadhi ya Wananchi hali inayosababisha kutumia maji...
  17. Kwanini ukienda hospitali idadi kubwa ya wanaotibiwa ni wanawake?

    Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!? No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
  18. Z

    Inakuwaje Arena ijengwe Kawe wakati Serikali ya awamu ya 5 ilitoa eneo kubwa lililopo Kwembe/luguruni kwaajili ya kujenga Arena?

    Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba. sasa leo hii tunasikia Arena itajengwa Kawe?!! kulikoni? mboni wilaya ya Ubungo inatengwa kupata miradi ya...
  19. R

    Miaka 25 - 35 ndio umri mgumu zaidi kwa vijana wahitimu wa degree, Presha ya kupata mafanikio au kuwa mtu wa level fulani inakuwa ni kubwa mno

    Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
  20. Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

    Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…