Hivi nyie watawala wa hii nchi ni mpaka watanzani nao siku moja wafanye maamuzi magumu kama vijana wa Kenya?
Like kundi lote kwenye uapisho lina ulazima gani na ni kwa gharama ya nani?
Watu wanapanda ndege kutoka Dodoma mpaka Zanzibar na kurudi bila sababu yoyote ya msingi eti kwenda kushiriki...
Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara,
Punde baada ya kumaliza chuo
,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile.
Natembea barabarani kwa kuvimba
Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani.
Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua...
Kweli dunia ya Sayansi na technology, CEO wa taasisi unaenda kupitisha utaratibu wa Kuwapata wadaiwa Sugu kwa njia ya fichua?
This is total embarrassment to the government na hii ni ishara hatuna watu sahihi kwenye Taasisi za Umma.
Wakopaji wana NIDA, identifications ,
Ujazaji wa form...
Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.
Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu.
Pacome...
Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida kabisa.
Kuna mzungu Arusha USA River anazo na jana nilibahatika kufika kwake nikakutana nazo. Yeye...
Ukiyasikiliza maelezo ya Bashe katika tuhuma za maamuzi na kutolewa vibali vya biashara ya kuingiza sukari yana walakini mwingi na kuacha maswali zaidi
1. Ni kweli Bashe anayo mamlaka ya kujifanyia maamuzi tu kwamba nchi ina dharura ya upungufu wa sukari yanayompa mamlaka ya kutofuata taratibu...
Heshima sana wanajamvi.
Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM.
Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa...
Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii.
Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha:
Kutokuwekeza mapema:
Kutokujitunza kiafya...
High tax rates hinder poor countries from growing their economies.
The tax rates from sales tax to income tax are too high for our region where businesses need more and more capital to grow and reinvest and create employment but instead the government’s strategy of imposing higher taxes is...
Samuel Eto'o kasema kabla hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka
Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua...
Maneno ya rafiki yangu mkinga .
Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu.
Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa.
Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
Namba hazidanganyi!
Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam!
Dar Es Salaam ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,393. Hata hivyo, inaizidi Zanzibar kwa idadi ya watu. Kwa mwaka 2022...
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini...
TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani
Molotov-Ribbentrop Pact 1939
Malengo wakigawana Ulaya Mashariki na Ndio ikawa chanzo cha vita ya pili ya Dunia sababu hatua za awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.