Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona!
Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu
Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia.
Leo hii...
UMUHIMU WA UWAJIBIKAJI KATIKA MAENDELEO YA JAMII: JINSI WANANCHI WANAVYOWEZA KUCHANGIA NA UCHAMBUZI WA VIWANGO VYA UWAJIBIKAJI KATIKA SEKTA TOFAUTI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Uwajibikaji ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii. Ni jambo ambalo linahitajika kwa kila mmoja wetu kuchukua...
Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS;
===
Picha: Feisal Salum (Fei Toto)
Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao:
Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
Na John Walter-Mbulu
Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi.
Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.
Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku,
*Kontawa
*Maarifa
*Toxic
*Pmawenge...
Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!?
1. Kwanini ungechangia...!?
2. Kwanini usinge-changia..!?
3. Hujui nini ungefanya..!?
Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba.
Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
Zaidi ya Wanafunzi 1000 kutoka Shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam wamejitokeza katika tukio la uchangiaji damu wa hiari lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Kisutu ambapo zaidi ya chupa 600 za damu zimepatikana.
Tukio hilo la uchangiaji damu wa hiari limeratibiwa na Shule...
Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo
RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo
Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo...
Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina jumla ya Sekondari 27:
Shule 25 za Kata/Serikali
Shule 2 za Binafsi (SDA & KATOLIKI)
UPUNGUFU WA MIUNDOMBINU
Tunaendelea na ujenzi na uboreshaji wa miundombimu iliyopungufu kwenye Sekondari zetu za Kata...
Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe.
Polisi nao ukienda kuripoti tukio la uhalifu ili waende eneo la tukio huwa wanahitaji mafuta ya...
Heri ya mwaka mpya 2023.
Moja kwa moja kwenye mada
Mwaka jana 2022, kama majobless wengine niliendelea kuhudhuria interview mbalimbali za utumishi na sehemu nyingine nyingi sana. Kitu nilichoona naona majobless wanaongezeka sana sio kama zamani nilivyokuwa nikiwaona. Yaani naona makutano na...
Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used”
Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka mawakili kuharakisha kesi za ardhi zaidi ya 2,000 ambazo zina Mawakili wanaosimamia kwa niaba ya wateja wao.
Waziri Angella Mabula amsemea: “Katika mashauri 3000 yaliyochukua zaidi ya miaka miwili, 2,000 kati yao ni yale ambayo...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki.
Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeonyesha usikivu kwa umma baada ya kupungua na kufuta...
UMUHIMU WA KUCHANGIA DAMU.
Damu ni zawadi ya thamani ambayo mtu anaweza toa. Damu inayotolewa hutumika kwa wagonjwa waliojeruhiwa na majanga mbali mbali ,wagonjwa wa saratani ambao wanahitaji kuongezewa damu,na wagonjwa wanaopoteza damu wakati wa upasuaji mkubwa. Kabla ya kupatiwa mgonjwa damu...
Binadamu wote ni ndugu, kwa sababu safari yetu ni moja.
Kumekuwa na changamoto nyingi za kiafya katika jamii zetu.
Kumekuwepo na watu kuugua muda mrefu, na kupelekea kuporomoka kwa uchumi kwa familia husika, na hatimaye kushindwa kumudu gharama za matibabu.
Ambayo hupelekea kwa mgonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.