🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Swali kwa faida ya watanzania 🙏
Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia .
Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
Wanabodi,
Nilihudhuria hii eventi
Mshindi wa kwanza wa shindano la “STARTUPPER OF THE YEAR CHALLENGE BY TOTALENERGIES, Innocent Sule (mwenye Rasta ambaye picha yake pia inaonekana ukutani) wa kiwanda cha Soma Factories Tanzania Group ambao wanatengeneza mabegi ya shule yanye taa ya solar ya...
Wakuu niko dodoma mjini hapa mitaa ya changombe kuna kijana anapita akichangisha fedha za kujenga ofisi ya serikali za mitaa anataka buku kila frame za kubeba matofali naomba kujuzwa nikimtimua kisheria ni kosa au maana buku ni ndogo ila hii serikali imeshatuona wananchi wake ni nyumbu kuna...
Napendekeza wadau wa sanaa pamoja na familia ya Professor Jay wakae chini waandae tamasha la kukusanya pesa za kusaidia matibabu ya Professor.
Jay sio tu ni msanii mkali lakini pia anaishi vizuri sana na jamii yake...Ni yule brother fulani hanaga noma hana makuu anaishi vizuri na wadau wote...
Kumekuwapo na matamko ya kuzuia michango shuleni lakini ukweli ni kwamba hawa wanaotoa matamko haya watoto wao hawasomi shule hizi za kata na ajenda yao ni kuwafanya Watanzania tuendelee kuwa wajinga na wapumbavu.
Kikawaida fidia ya elimu bure ni Tsh 20000 kwa kila mwanafunzi, kiasi hiki cha...
Kuna suala la wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza ambao hawatakuwa na uwezo wa kununua sare waendelee na zile za shule ya msingi , kauli hiyo ilitolewa na aliyekuwa waziri wa Tamisemi.
Kiukweli nimeona mtazamo wa wengi juu ya suala ,kuna wengine wanasema kwamba sio mbaya waendelee nazo tu...
Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia?
Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria...
Nilikuwa sehemu kwa mafundi umeme wa magari Kinondoni, nimesikitika kumsikia baba mmoja akimsimulia rafiki yake kuwa anatembea na mama mmoja wa binti waliyeshindana kimahusiano in other words amechanganya mama na mwana kimapenzi.
Kisa ni kwamba siku moja binti alimpigia simu mwanaume wake kwa...
Kumekuwapo maswali mbalimbali ya wanajamii wanaojaribu kujiuliza uhusiano uliopo kati ya kuchangia damu ya chanjo ya Covid-19.
Watu waliochanjwa wanajiuliza kama endapo wanaweza kuambukizwa corona wanapochangiwa damu na watu ambao hawajachanjwa na wengine wanajiuliza endapo kama hujachanjwa...
Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake, walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi, ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6.
Tayari mchakato wa kampeni hiyo...
Kwa miaka mingi nimejihusisha na siasa za TANZANIA nawala sijaona mafanikio yoyote Wala mabadiliko yoyote zaidi ni mauaji ya Kina Hamza na mengine mengi. Nimegundua Wanasiasa wa Tanzania wengi Ni mabogazi wako kimaslahi zaidi. DJ. DON NALIMISON nimeamua kukaa Kando Maisha yangu yote, sitajiunga...
Hii tabia ya wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuwataka watumishi wa umma ndani ya Halmashauri imetoka wapi?
Yaani mkuu wa wilaya anaagiza wakuu wa idara kusimamia zoezi na kuomba majina ya wachangiaji, sasa hatujui wasiochangia wafanywaje.
Pia wakuu wa idara wamekuwa wakionywa endapo atashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.