kuchelewa kurudi nyumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Je, ni haki ya mwanamke kumuuliza mumewe alikuwa wapi baada ya kuchelewa kutoka kazini?

    Kwa upande wangu sipendi kuulizwa na mtu niliemuoa nikamleta kwangu na mahari nilimlipia, yaani nakuja kwangu nipumzike uniulize hivyo! Hapana, nitajihisi kama umenidharau sana kama mtoto. Wanawake, wanaume hatupendi kuulizwa ulizwa, we shukuru nimerudi home basi!
Back
Top Bottom