Je, ni haki ya mwanamke kumuuliza mumewe alikuwa wapi baada ya kuchelewa kutoka kazini?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kwa upande wangu sipendi kuulizwa na mtu niliemuoa nikamleta kwangu na mahari nilimlipia, yaani nakuja kwangu nipumzike uniulize hivyo!

Hapana, nitajihisi kama umenidharau sana kama mtoto.

Wanawake, wanaume hatupendi kuulizwa ulizwa, we shukuru nimerudi home basi!
 
Inategemea na mfumo wa ndoa yenu. Zingatia mfumo plis.

1) Ndoa ya Bwana na kijakazi ni marufuku kijakazi kumuulizauliza BOSS. Just serve the Boss and follow commands.

2) Ndoa ya Business Partners, the female business partner can ask the male about his whereabouts as far as their business is concerned. When the business is closed, the male business partner rests from both the business and inquiries from the female business partner.

3) Ndoa ya 50 / 50 lazima uulizwe, unataka kutegea kuosha watoto? ? It's your turn!

4) Ndoa ya cheti / kulelea watoto hawaulizanagi. Sio kwa ubaya. Mume lipa bills. Mke take care of the house. Funguo mnazo ukirudi saa tisa usiku au kesho kutwa hakuna atakayekuuliza.

5) Ndoa ya watoto wa MUNGU, timetable ya mtoto wa kike na wa kiume zina sync naturally. They don't need to start such a thread. They already know where the other person is, and it's the truth, because they're one.
 
👊👊👊
 
Kwa upande wangu sipendi kuulizwa na mtu niliemuoa nikamleta kwangu na mahali nilimlipia, yaani nakuja kwangu nipumzike uniulize hivyo!

Hapana, nitajihisi kama umenidharau sana kama mtoto.

Wanawake, wanaume hatupendi kuulizwa ulizwa, we shukuru nimerudi home basi!
Kama kweli ulilipa mahali na wala si Mahari upo sahihi (maana ni akili za kitoto na mtoto hawezi kuoa). Ila kama ulilipa Mahari, ukaoa; uliyoyaandika si sahihi. Mwanamke ana haki ya kujua ulipo wakati wowote kama wewe ulivyo na haki ya kujua alipo kila wakati
 
Umelipa mahali wapi wewe nyumbu?
Mahali ni nini
 
20250927_135837.png
 
Kuulizwa ni sawa ila atafute hekma bora kuuliza isionekane anataka kushka ratiba yng patachimbka.
 
Kama kweli ulilipa mahali na wala si Mahari upo sahihi (maana ni akili za kitoto na mtoto hawezi kuoa). Ila kama ulilipa Mahari, ukaoa; uliyoyaandika si sahihi. Mwanamke ana haki ya kujua ulipo wakati wowote kama wewe ulivyo na haki ya kujua alipo kila wakati
Fact
 
Mke anajua kazini una toka saa11, wewe nyumbani una ingia saa 6 usiku huu si uhuni kudadadeki.

siku ukipatwa na janga, mkeo atakuwa kwenye hali ngumu maana ratiba yako ni sawa na kunguru yaani hueleweki
Ningepatwa na janga isinge saidi, ni sawa kabisa nikipatia janga kazini.. atahusika kwa namna ile ile. Nahisi hujaelewa uzi, mtu umesha rudi home, naulizwa nilikua wapi?? ni ujinga tu, huo na wasiwasi wa kumchiti tu, na kionesha ana kauli kwako.
 
Kwa upande wangu sipendi kuulizwa na mtu niliemuoa nikamleta kwangu na? mahari nilimlipia, yaani nakuja kwangu nipumzike uniulize hivyo!

Hapana, nitajihisi kama umenidharau sana kama mtoto.

Wanawake, wanaume hatupendi kuulizwa ulizwa, we shukuru nimerudi home basi!
Una miaka.mingapi
 
Back
Top Bottom