Kwa upande wangu sipendi kuulizwa na mtu niliemuoa nikamleta kwangu na mahari nilimlipia, yaani nakuja kwangu nipumzike uniulize hivyo!
Hapana, nitajihisi kama umenidharau sana kama mtoto.
Wanawake, wanaume hatupendi kuulizwa ulizwa, we shukuru nimerudi home basi!