Habari wakuu,
Leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu...
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu.
Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
Yaani najiuliza baada ya kuoa tu ndio michepuko inakuja mingi tofauti na mwanzoni nilikua naipata kwa shida sana.
Hata nimejaribu kumshirikisha jamaa yangu na yeye anasema baada ya kuoa ndio mizigo inafululiza vibaya sana.
Tatizo ni nini hapo?
Laana na kuchepuka ni miongoni mwa imani potofu zinazoaminika katika jamii kuwa zinasababisha ulemavu wa mdomo sungura na mdomo wazi kwa watoto.
Mdomo sungura na mdomo wazi ni ulemavu unaosababishwa na hitilafu ya kimaumbile ambayo mfumo wa mdomo unashindikana kuungana ipasavyo wakati wa...
Wadau kuna baadhi watu wana uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuwa na makazi yako lakini bado umalaya unawafanya waendelea kupanga.
Kuna watu wengine walishakolea ile tabia ya kutembea na wapangaji wanaona wakijenga na kuishi kwao hawatapata michepuko.
Kuna watu walishazoea yale maisha ya...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi...
Salaaam kwenu wadau
Kama mada inavyojieleza
Uko na mke mmefunga ndoa na mna watoto
Kutokana na sababu za kikazi ,inafikia hatua mnaishia mikoa tofauti, mke mkoa Z mume mkoa B. Mke yuko na watoto na mume Yeye anaishi mwenyewe. Siku za nyuma mawasiliano yanakua mazuri ,ila baada ya miaka kupita...
Habari zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama
Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa ndinjii wakishakula wake zetu huwa wanajisifu na kujiona wameyapatia maisha.
USHUHUDA
Mwenzi...
Asilimia mpaka 45 ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanachepuka.
Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke. Haijalishi wewe mwanaume ninani na una nini. Mkeo akiamua kuchepuka atachepuka tu, huwezi kumzuia.
Kuna...
Muhali gani waungwana.
Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala.
Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/
Vyeti vikaletwa
Mpaka vyeti kutoka nchi za...
Hii mbinu itamfanya mwanamke kuogopa kuchepuka kwa kuhisi kuwa ataonekana kuwa mchafu kwa mchepuko wake.
Kwa wale wanaume wanaosafiri safiri sana, yaani kuwa na mkeo inakuwa mara chache, sasa fanya hivi:- mwambie asiwe ananyoa.
Wewe ndio unatakiwa umnyoe tena kwa kuyapunguza tu usiyamalize...
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa.
Wakili Peter amesema kinachozuiwa na Sheria ya Ndoa ni mwanamke kufunga ndoa nyingine akiwa kwenye ndoa. Adhabu yake ni...
Habari viongozi, na watu wote.
Naomba kwanza ku-declare my side ni kwamba siwezi kumwacha mke wangu niliezaana nae hata mtoto mmoja tu kisa amechepuka.
Kuna ndugu yetu humu ndani amemfukuza jana mke wake huko Dar baada ya mke wa mume aliyechepuka na mke wake kuja na kundi la watu wakiwa na...
Kuchepuka kwenye ndoa imekuwa ni jambo la kawaida kwa watu wengi; unakuta mwanaume ana mpenzi wa kando, pia mwanamke ni hivyo hivyo. Ingawa kwa asilimia kubwa, wanaume ndio wanaoongoza kuwa na michepuko mingi kuliko wanawake, na hii inatokana na kuvutiwa kwa hisia mbali mbali kutokana na warembo...
Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu.
Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani?
Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
Yaani mama yeyoo alivyo kisu hata sielewagi why mimi sometimes nakua mchepukaji. Maana hata kipindi nampata yeye ndo alikua kama side chick halafu main chick sikumuoa japo naye alikua kisu.
Ila tuache utani wachepukaji tunakua na maoption sana maana nikikumbuka visu nilivokua nakula hadi...
Nilikuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu, ambapo bidada baada ya kunogewa alishauri tuzae mtoto, ambapo atabeba mimba yangu, na kumuhadaa mumewe kuwa ni mimba yake, pia na mtoto atakayezaliwa atatumia jina la mumewe. Kutokana na ushawishi, ilibidi nimkubalie na kwa sasa yuko karibuni kujifungua...
Wana jamvi nadhani mtanichoka ila muendelezo wa maswali nayouliza yanamaana kwangu. Nadhani jinsi nitavyojibiwa na wataalamu mbalimbali humu hivi kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na Mwanamke kuchepuka?
Hodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.