Kiungo wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 30, timu yake ya mwisho ikiwa ni Aarhus ya Denmark.
Wilshere ambaye alikuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara iliaminika atakuwa staa mkubwa wakati akichipukia, anastaafu akiwa ameichezea...