Kiungo huyo wa zamani wa Real Madrid, Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani amechukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 34, timu yake ya mwisho kuitumikia ikiwa ni Istanbul Basaksehir ya Uturuki.
Timu nyingine ambazo amewahi kuzichezea ni Schalke 04, Werder Bremen na Fenerbahce.
==============...
Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu.
Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam.
Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa
Vijana...
Habari,
Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
Wasalaam JF
Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa.
Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
Wakuu habari za usiku..
Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema.
Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
Maisha ya nchi nyingine magumu sana!!!!!Hii sijui imekaaje?
=========
Iran jails couple for 10 years over viral dancing video: activists
Iran has handed jail sentences for over 10 years to a couple who danced in a viral video, convicting them of 'encouraging corruption and public...
Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu.
Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen.
Leo ni...
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo...
Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana.
Ni...
Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana..
Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid.
Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi hii.
Amunike = Feisal anatakiwa kuchezea Barcelona.
But ndio uhalisia huo? Sio kweli.
Ukweli ni...
Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga.
Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu...
Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga.
Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey.
Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara...
Hakuna watu wanacheza Dili za hatari Kama Ma-jobless, that's why wengine wamekataa kuajiriwa na kulipwa ujira wa kijiko wa laki sita hadi Saba.
Hii ni kwasababu wanacheza dili za hatari.
5. Al Ahly SC - Misri - 71
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya nchini Misri na mataji 10 ya ligi ya mabingwa Afrika.
Ikiwa na makao yake katika jiji la Cairo klabu...
Nchi yetu ni kubwa sana na timu zimetawanyika sana kwenye mikoa, wilaya, tarafa, kata hata kwenye vijiji. Viwanja vyetu vingi havina dimba nzuri la kuchezea hivyo linazalisha ajali nyingi zisizozuilika kwa wachezaji.
Wachezaji wetu wengi hawakutokea kwenye sports academies hivyo wanarukiana tu...
Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza.
Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!
Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita.
Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.