kucheza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Messi: Sifikirii kucheza Kombe la Dunia 2026

    LIONEL Messi amethibitisha kuwa “hafikirii” kama atacheza Kombe lingine la Dunia baada ya kuiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa mashindano hayo mwaka jana nchini Qatar. Messi ambaye ana umri wa miaka 35 alisema hayo katika mahojiano na vyombo vya habari vya China kuhusu mustakabali wake kwenye...
  2. R

    Ulikuwa bingwa wa kucheza mchezo gani ulipokuwa mtoto?

    Wakuu, Watoto na michezo ni kama samaki na maji, wengi tushazama kwenye michezo mpaka tukaja kufatwa na fimbo huko tulipokuwa. Wakati mwingine mzazi mpaka anapata wasiwasi labda mtoto kapotea, kumbe mtu kazama kwenye kombolela huko? Katika michezo yote niliyoweza kucheza rede nilikuwa fundi...
  3. JanguKamaJangu

    Hatimaye Zlatan Ibrahimovic astaafu kucheza soka

    Ametangaza kuchukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 41 baada ya kucheza soka kwa miaka 24 Straika huyo aliyekuwa akiitumikia AC Milan, miezi kadhaa nyuma alinukuliwa akisema hana mpango wa kustaafu licha ya kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara na umri wake kuwa mkubwa Zlatan Ibrahimovic...
  4. MSAGA SUMU

    Bila shaka waarabu wataanza kukataa kucheza na Yanga

    Hamna kitu kibaya sasa hivi kwa waarabu Kama wakikutana na Yanga kimataifa. Chini ya jangwa la Sahara hamna timu inaogopeka Kama Yanga. Club Africain kapigwa za uso kwake Monastri hataki kabisa kumsikia Yanga. USMA ilibidi achome matairi uwanjani ili Mambo yasiwe mengi. Hawa Yanga na hata hawaringi
  5. S

    Yanga kucheza mechi 4 ndani ya Siku 9

    Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga inacheza: 👉Tarehe 3 Juni CAF fainali 👉Tarehe 6 Juni ligi 👉Tarehe 9 Juni ligi 👉Tar 12 Azam Federation Cup. Ndani ya siku 9, mechi nne, hii ni kuikomoa...
  6. GENTAMYCINE

    Tatizo siyo kuroga Mvua kubwa inyeshe Mwarabu afe. Je, una Wachezaji wa kucheza katika Madimbwi na Matope?

    Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
  7. JanguKamaJangu

    MAREKANI: LeBron James afikiria kustaafu kucheza kikapu

    Inadaiwa kuwa Nyota huyo wa Los Angeles anafikiria kuhusu uamuzi huo baada ya timu yake kupoteza kwa 4-0 dhidi ya Denver Nuggets katika Fainali za Ukanda wa Magharibi kwenye Ligi ya Kikapu ya NBA. Taarifa zinadai kuwa James amesema anahitaji muda kutafakati kama atarejea uwanjani kuendelea...
  8. OGTV

    Marvel's Spider-Man: Miles Morales GAME: Jinsi Ya Kucheza Spider Man kwenye PS5

    FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE, inaonyesha kuwa spider miles morales anaachiwa mji wa New York Peke Yake aulinde wakati spider wa...
  9. Heavy Metal

    Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

    Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
  10. GENTAMYCINE

    Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

    Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake. Uzi...
  11. O

    EDO KUMWEMBE: Miezi sita ya Fei Toto kucheza soka viunga vya TFF

    JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba mwaka jana. Kwa sasa Fei amekuwa maarufu katika viunga za TFF kando yake akiwa na meneja wake pamoja...
  12. OGTV

    GTA V: Targeted Risk | Jinsi ya Kucheza

    Targeted Risk is a Strangers & Freaks side mission in Grand Theft Auto V given by Dom Beasley, involving protagonist Franklin Clinton. It's the 3° mission for Dom Beasley, after the Liquidity Risk mission. Being a Franklin mission, this Strangers & Freaks mission is required for 100% completion...
  13. D

    Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    I have being watching him in several matches, factors hidering his performance . Poor positioning . too heavy (mzito) . Poor Football intelligence ( he needs to attend class again ) How to improve . He should switch the numbers . Improve the runs . He should be loan to a different club for...
  14. GENTAMYCINE

    Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

    Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika. Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...
  15. M

    Kwanini Yanga SC kila ikikaribia tu Kucheza Mechi Kubwa na Muhimu hupatwa na Misiba?

    Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia. MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda...
  16. SAYVILLE

    Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli...
  17. J

    Kabla ya kucheza robo fainali, timu za Shirikisho zilitakiwa kucheza Play off na timu ya nafasi ya 3 Champions league, CAF wanakosea

    Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri Mfano Monastir...
  18. Dcxkobe

    Wapenzi wa kucheza magemu

    Natafuta magemu ya kivita ya kuokoa watu au kwenda sehemu fulani kwenda kupigana kumuokoa mtu fulani Yan game liwe Kama movie za kivita zinavyokua story yake kwa mnaoyafaham magemu ya namna iyo mnaweza nitajia nikayatafuta iwe ya kwenye cm au PC vyote sawa tu
  19. M

    Tatizo la Sakho ni hulka yake ya kutaka kucheza na jukwaa!!

    Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
  20. kali linux

    Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
Back
Top Bottom