Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani.
Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye...
Kama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama watatuweza kutoboa kwenye Ligi. Me naamini yanga wanataka watoke ili wahamishie nguvu yao yote kwenye...
Ni akili ya kawaida tu ambayo wala mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua, kuwa ni rahisi sana kwa adui yako kukusoma akijua uko naye karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu.
Halafu mkiambiwa hamna akili mnakataa na kukasirika. Mlichokifanya kuwahi kuondoka (kusafiri) leo ni kama vile...
Beki huyo wa kati wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, kesho Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp
Uamuzi huo wa ghafla ameutoa miezi mitano tangu avunje uhusiano na Shakira aliyekuwa mpenzi wake kwa muda mrefu...
Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku tukizingatia kuwa nauli ya kutoka Rabat kupitia Algiers mpaka Tunis ni ndogo kuliko ya kutoka Dar mpaka Tunis...
Imekua kero sana, nyimbo nyingi lazima wadada wainame mfano wa kuchuma mboga au walale mfano wa chura kisha wanatingisha makalio, huu ni udhalilishaji na kuchochea mmomonyoko wa maadili, kingine hizi nyimbo zinatumika katika mabasi ya mkoani, imekua tabu ukiwa na watu unaowaheshimu. Kutafutwe...
Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
Katika tathmini yangu ya Habib Kyombo, namuona ni mchezaji mzuri sana anayestahili kupewa nafasi zaidi.
Sitaongelea mikimbio yake wala mbwembwe zingine, ni mchezaji anayeonekana ana IQ nzuri ya soka halafu ni mpambanaji.
Changamoto kubwa ya Simba pale mbele ni kasi ndogo, Okrah akitaka...
Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema.
Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
Wakati Al Hilal ikichakaza 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
Naam wasudan hali ni tete,wanajua kwamba watapigwa kipigo cha mbwa koko tarehe 8 kama wasudan wenzao zalan lakini wanajikaza tu kisabuni.
Sasa jumatano ya week ijayo wanasafiri kuweka kambi ya muda mfupi lubumbashi na wakiwa huko watacheza na team mbovu ya TP Mazembe.
Hawana tofauti na makolo...
Salaam,
Kwa heshma na taadhima tunakumbushana;
Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024]
Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA.
Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili
2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana
3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni
4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa
5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji...
Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Marten Lumbanga amesema mabadiliko ya Katiba hayakwepeki, huku akiwataka viongozi wa Serikali na CCM kutopuuza madai hayo.
Balozi Lumbanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi na baadaye Rais mstaafu Benjamin Mkapa kabla...
Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu.
Amesema jamii impe muda atakuja kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo.
Watu wa Soka,
Tunapenda kuwafahamisha wapenzi, wadau na mashabiki wa klabu ya Singida Big Stars kuwa tumepokea mwaliko kutoka kwa wenzetu Rayon Sports FC ya nchini Rwanda kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa.
Timu yetu inatarajia kusafiri kuelekea Rwanda siku ya Ijumaa ya tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.