kucheza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Je, yule Mchezaji wa Timu Moja Kubwa niliyesema 'Karogwa' na ataanza Kucheza vibaya mmeshamjua au bado?

    Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE hapa JamiiForums au basi hata tu Kunupigia Salute kama Heshoma, kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli. Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika...
  2. Fortilo

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani. Swali. Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani? Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani. Hii kibri anapata wapi? "Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
  3. JanguKamaJangu

    Paul Pogba asimamishwa kucheza kwa kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli

    Kiungo wa timu ya Juventus, Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 30, amesimamishwa kucheza kandanda kwa muda baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umechukuliwa na Mahakama ya Kitaifa ya Italia yenye dhima ya kupambana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini...
  4. Lupweko

    Tujikumbushe: Mwana FA aiombea Yanga nafasi kucheza Super League, Yanga yalalamika kutoalikwa mkutano wa CAF Arusha

  5. SAYVILLE

    Ijue siri ya kucheza mpira wa umiliki mpira, yaani boli kutembea

    Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Simba kucheza mpira usiovutia, au wengine wanaita papatu papatu. Kuna wengine wamekuwa wanasifia uchezaji wa Yanga hivi sasa. Ngoja niwagusie mbinu mojawapo ninayoijua mimi ya kuwajenga wachezaji kuweza kucheza mpira wa umiliki yaani possession football...
  6. GENTAMYCINE

    Kuna Timu inapanga kucheza Mechi 2 au 3 za Kirafiki ili Kutuliza Mashabiki wake na Tano Tano za Wanaojua Tanzania

    GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya...
  7. sky soldier

    Kucheza mpira kuna uhakika zaidi kuliko kuimba Bongo Flava. Ewe kijana ama mzazi mwenye kijana, Mpira Ruksa ila Bongo Flava iwe burudani tu

    Ni ushauri kwa vijana na wazazi wenye vijana ambao wanataka kuingia kwenye haya mambo, Kwa nchi yetu tuwaase zaidi vijana wanaotaka kucheza mpira kuna chance nzuri ya kufanikiwa ila hawa wanaotaka kuimba watafute shughuli zingine, mziki waufanye kwa burudani tu maana chance yake ni ndogo sana...
  8. sky soldier

    Kucheza Mpira V/s Bongo Flava, wapi angalau kuna uhakika wa maokoto ya kuendesha maisha kwa sasa?

    Diamond naomba tumuwekee exception asiwepo, hata kwa sasa pesa anavuna zaidi kwenye uwekezaji Binafsi nachoona ni wasanii ni wachache sana wanaoingiza hela kwa mziki pekee, kinachoumiza wasanii wengi ni kulazimika kuishi maisha ya juu kwajili ya brand, mfano kuishi nyumba za milioni 3 kwa...
  9. Richard

    Ni lini Tanzania nayo itashiriki kombe la dunia la wanawake na mpira wa pete(Netball)? Michezo ni sekta muhimu kiuchumi kwa taifa

    Leo hii timu ya mpira wa miguu ya Hispania imeshinda kombe la dunia la wanawake mjini Sidney nchini Australia baada ya kuifunga timu ya Uingereza goli 1-0. Goli la Hispania lilifungwa na Olga Carmona baada ya kupewa pasi maridhawa na Mariona Caldentey. Hispania wamecheza mchezo kabambe khasa wa...
  10. M

    Kuna sababu gani hizi Timu za Zanzibar kucheza mashindano ya CAF?

    Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa. Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI...
  11. K

    Simba iliahirishiwa mechi, kwanini Kitayosce ilazimishwe kucheza pungufu?

    Desemba 28, mwaka 2021, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania(TPLB) iliamua kuahirishwa kwa mchezo namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Kagera Sugar FC na Simba SC uliokuwa uchezwe siku hiyo Saa 10:00 Alasiri katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, kutokana na taarifa za kitabibu kuwa wachezaji 16 kati ya 22...
  12. LIKUD

    Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

    Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z)...
  13. Majok majok

    Power Dynamo rekebisheni kiungo chenu na safu yenu ya ushambuliaji vinginevyo amjapata timu ya kucheza ligi ya mabingwa

    Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
  14. Majok majok

    Rais Samia umefanikiwa pakubwa kucheza na akili za mbumbumbu

    Rais wa nchi tunakupongeza kwa akili kubwa kubalance mambo kwa kuhudhuria Tamasha la Simba, Mwanzo walikubeza na kukutupia kila aina ya lawama baada ya kuwapa kongole kwa vitendo timu ya wananchi Yanga baada ya kufanya vizuri michuano ya kimataifa. Sasa basi atutegemei kusikia tena kelele za...
  15. Mwl.RCT

    SoC03 Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza kunavyotishia mustakabali wa Taifa letu

    Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza Kunavyotishia Mustakabali wa Taifa Letu Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi Je, unajua kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha uandikishaji wa elimu ya sekondari kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki? Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo...
  16. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

    Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia. Huwa sina Unafiki na Upumbavu na ndivyo hata nilivyo Kiuhalisia wangu. Kama Kipa Ally Salim ( japo ana Mapungufu kadhaa ) ameweza Kudaka...
  17. olimpio

    Wapinzani waanza kucheza michezo ya kutekana

    Ili kutafuta huruma kwenye jamii , Wapinzani wameanza kutafutiana ajali za kiafya na kisiasa ili wasingizie Serikali. Alianza Dkt Nshala kusema anatafutwa ili auawe eti kwa sababu anapinga DP World, Na sasa Mbowe anatangaza taarifa kwa watu wake wa karibu kuwa amelishwa sumu akiwa kwenye kikao...
  18. Chachu Ombara

    Zanzibar: Marufuku kucheza kwa kulowanisha nguo

    Serikali ya Zanzibar kupitia Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni imepiga marufuku mtindo wa Wanawake kulowesha kwenye maji nguo walizovaa na kisha kucheza nazo mziki kama ambavyo imekua ikifanyika kwenye baadhi ya sherehe ama mikusanyiko. Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya...
  19. M

    Ushabiki pembeni: Mayele hastahili kucheza soka barani Afrika, atafute mawakala wazuri wa kumvusha

    Unazi pembeni!!! Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika. Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
Back
Top Bottom