kudai haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Mlima Kilimanjaro: Jiungeni Sasa Kudai Haki Zenu Kisheria Kupitia Mountain Workers Advocacy Union (MWAU)

    Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali inayokiuka haki zao za msingi kazini. Kwa mujibu wa Employment and Labour Relations Act, 2004, Kifungu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameamua kutumia njia za amani kudai haki zao, lakini watawala wanatumia Maguvu kuharibu Amani

    Mpaka sasa, hakuna mwananchi hata mmoja, hakuna chama cha siasa chochote cha upinzani hata kimoja, wala hakuna taasisi hata moja, imetumia nguvu kudai haki za kikatiba zinazogandamizwa nchini. Jambo la kusikitisha ni kuwa madai hayo ya haki za msingi za kikafiba za wananchi, yanayofaiwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waislam walofanikiwa Kua na Elimu Dunia wengi wanakubaliana na TEC kudai Haki

    Unaweza jiuliza, TEC mbona hawajazungumzia Udini wa MTU, TEC na Maaskofu na Manabii wengineo , wao wanataja neno "HAKI HAKI HAKI". Ila Hawa wenye kuponda Elimu Dunia , huku vichwan wamejaza Elimu Dini, kwenye kujibu utawasikia majibu Yao ni mawili tu 👉Kwakua Rais ni Muislam 👉 Angekua Mkristo...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilimanjaro: Walimu wadai kudhalilishwa na Afisa elimu kwa kuambiwa kuwa hata Mahari hawajawahi kumaliza. Kisa kudai haki yao

    Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata mahari yenyewe hawajamalizaga kulipa kwa hiyo hata malipo yao watalipwa kidogo kidogo. Walimu hao...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais. Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile. Rais ni kiongozi wa nchi lkn...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

    Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali. SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana. Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke Akianza kudai haki zake, huonekana ana kiburi.

    Hususan Maeneo ya Vijijini na hata baadhi ya Familia Mjini Mwanamke akianza kutambua na kudai haki zake huonekana ana kiburi sana. Halafu cha kushangaza sasa unakuta wanawake ndio wa kwanza kuanza kukandamiza haki ya Mwanamke mwenzao ili mradi tu na wao wasionekane wabaya. Mwanamke huyu...
  8. JamiiForums Tanzania Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

    Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi. Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274...
  9. JamiiForums Tanzania Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

    Jomo Kenyata alishawai kusema: "Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao, Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao, Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
  10. JamiiForums Tanzania Kijana dai haki kwa kutimiza wajibu wako

    Niwakumbushe tu vijana wa kudai haki zenu hakikisha unatimiza wajibu wako. Mfano kama ulisomeshwa vizuri na wazazi wako na wewe ukatimiza ushauri wa wazazi wako na ukakosa ajira ni haki yako kudai haki. Kama unafuata sheria za nchi kama katiba inavyoeleza una haki ya kudai haki. Sio ujiingize...
  11. JamiiForums Tanzania Dhana ya maiti katika Siasa na Harakati za kudai Haki Tanganyika

    1. Wakenya mara kadhaa wametumia dhana ya MAITI kuelezea namna ambavyo Watanganyika "Wamekufa" katika kudai haki zao toka Uhuru 1961 (miaka 63 iliyopita). 2. Mkataba wa DP World ilikua fursa ya Watanganyika kukataa dhana ya "MAITI" Ila ndo kama mnakumbuka mkataba umeshaanza kutumika, 3...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wanahofu kwenye swala la kudai haki

    Serikali haina dini ila watu waliomo katika serikali wanamisingi ya dini, zipo theory ambazo zinaelezea tabia ya binadamu inavyoathiri taasisi/utendaji kazi mfano wa behaviorism theory japo kuna code of conduct zimetazamiwa kumctrol muhusika ila effect ya kinachomtengeza kinakuwepo akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…