Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Unaweza jiuliza, TEC mbona hawajazungumzia Udini wa MTU, TEC na Maaskofu na Manabii wengineo , wao wanataja neno "HAKI HAKI HAKI".
Ila Hawa wenye kuponda Elimu Dunia , huku vichwan wamejaza Elimu Dini, kwenye kujibu utawasikia majibu Yao ni mawili tu
👉Kwakua Rais ni Muislam
👉 Angekua Mkristo wasingesema
Sasa jiulize, Kudai Katiba Mpya, au Tume huru ya uchaguzi ambaye Ndani yake Waislam na Wakristo wote wananufaika, Kuna husiana vipi na Udini??.
Ajabu la aina hii ya WAISLAM, Dai hili la HAKI lingemkuta Rais ni Mkristo, WAISLAM DINI Hawa wangeliunga mkono Kwelikweli.
Kwa jicho la Mbali, Nyerere alifanya vizuri sana kuwaweka chini ya BAKWATA, maana wenyewe hawatangulizi kufikiria, wanatanguliza Hisia na Udini, bila Kuwa control Nchi ingekua kama Somalia hii!!.
Vyovyote vile iwavyo, NCHI INAHITAJI KATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI .