kudai

Kudai are a Latin Grammy Award-nominated Chilean pop group that was founded in Santiago, Chile. Its original members were Tomás Manzi, Pablo Holman, Nicole Natalino and Bárbara Sepúlveda Labra. In 2006 Nicole Natalino left the group citing personal reasons, and was replaced by Ecuadorian Gabriela Villalba for three years. They released five albums in Latin America: Vuelo in 2004, Sobrevive in 2006, Nadha in 2008, Laberinto in 2019 and Revuelo in 2021.
With their debut single, Sin Despertar, which reached #15 at the Billboard Hot Latin Tracks, they received strong radio airplay in all of the Hispanic world. Sin Despertar was included in their album Vuelo, which was a worldwide success, reaching 3x Platinum status in Chile, Platinum status in Mexico, and selling over 500,000 copies worldwide.
They are well known for hit songs, such as Sin Despertar, Ya Nada Queda, Escapar, Déjame Gritar, Llévame, Tal Vez, Lejos De Aquí and Morir De Amor.
They also performed the theme song for Quiero Mis Quinces, a show for MTV Latinoamérica. "Quiero Mis Quinces" was also a hit in Mexico, reaching #7 there.
In November 2016, the band confirmed their return to the scenes with the original members.

View More On Wikipedia.org
  1. CCM kudai kuwa vyama vya upinzani bado havijawa tayari kukabidhiwa nchi, ni uzalendo au ubinafsi?

    1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa? 2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
  2. Hizi beach Zanzibar kudai asilimia 5 ukitumia visa kadi kulipa zinaenda kwa nani?

    Nimeshangaa sana jana nilikuwa beach nmoja wakati wa kulipa tukaomba kulipa hapa Zanzibar wakadai unakatwa asilimia 5 ya pesa unayolipa Kwa ñn agizo la bosi Leo nkaenda nyingine uwiiii mambo ni yaleyale sijui wameambiana nikageuka shaah baada ya kunywa soda Sijui mnaojua haya mambo ninaona...
  3. Tatizo la kushindwa kuunda hoja na kudai hoja pasipo kuwa na hoja.

    Habari za Leo Waungwana. Nawasilisha hoja yangu kama ifuatavyo. Hivi sasa kila mtu anadai hoja, anasema wengine hawana hoja, ukitoa maoni unaambiwa hauna hoja. Binafsi sielewi kwamba wanao dai hoja wanamaanisha au wanapuuza yaliyosemwa kwa excuse ya kukosa hoja? katika namna ya pande mbili...
  4. N

    TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

    Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
  5. Kitabu Cha Historia ya Yanga na Harakati za Kudai Uhuru

    Watu kadhaa wameniuliza ukweli kuwa kuundwa kwa Yanga mwaka wa 1936 ilikuwa mbinu ya kudai uhuru wa Tanganyika. Haya nimeambiwa yameandikwa katika kitabu cha historia ya Yanga ambacho kimetolewa hivi majuzi. Jibu langu kwao ni kuwa ushahidi wa historia ya kudai uhuru wa Tanganyika hauonyeshi...
  6. SoC04 Usumbufu wa NSSF katika kudai mafao

    Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums? Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini. Hatua ya kwanza unakwenda NSSF kuangalia michango yako kama mwanachama kama haujawahi kwenda na hauna kadi. Ukishajua michango...
  7. Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  8. Elimu ya talaka, namna ya kudai talaka, vigezo na masharti ya kuandika talaka

    Habari za Leo wanajforum? Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na mada ya kutalikiana kwa wanandoa, huenda ni elimu ya watu wazima tu. Lakini hatuna budi kujifunza...
  9. Mtanzania kuwa mzalendo kwa kudai risiti halali ya manunuzi

    Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu. Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli... Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali...
  10. WATOA MIKOPO TAFUTENU MBINU YA KUDAI NA SIO KUDHALILISHA WATU KUWA WANAJIUZA HII SIO SAWA

    niende moja kwa mbili kwenye mada kuu. kuna hawa watoa nikopo wa sasa kwa njia ya Mtandao Dah wanafanya kitu cha AJABU sana hizi ni kampuni za HOVYO sana mana wanakopesha wanawake ambao hawana kazi yoyote MTAANI .Bali wanakula tu Hizo hela alafu wanashindwa kulipa na kudhalilishwa na watoa...
  11. CHADEMA inahitaji tume huru ndani ya Chama kabla ya kudai tume huru ya Taifa ya Uchaguzi

    Nimeshuhudia na kushiriki chaguzi nyingi ndani ya Chadema na ndani ya CCM,chaguzi nyingi ndani ya vyama vyetu zinavunja katiba za vyama hivyo kwa makusudi kabisa,wasimamizi wa chaguzi hizo kwa kuwa wanakuwa na mamlaka ya nafasi za uongozi kutoka ngazi za juu,hutumia mwanya huo kufanya kadri...
  12. Mbinu gani ya kudai pesa bila kuonekana msumbufu kwa boss?

    Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
  13. Kudai barua ya ajira kabla ya kulipwa mafao

    Kutokana na maendeleo ya Technologia, ambapo zipo njia za kuaminika zaidi za kumtambua mtu; napendekeza Sheria ya Kudai mzee aliyekuwa mfanyakazi pengine kwa miaka 30 alete barua aliyopewa wakati anapata ajira kwa mara ya kwanza ili aweze kulipwa mafao yake iondolewe. Nafikiri wanaweza kuweka...
  14. Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio...
  15. Pre GE2025 Nadhani Maandamano ya kudai Katiba MPYA yana tija zaidi kuliko kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala . Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi nguvu sana wananchi na hailindi sana mali za Nchi yetu . Chama chochote kikisha ingia madarakani...
  16. KERO Nakerwa na tabia ya wakata tiketi wa Mabasi ya Mwendokasi kudai hawana chenji kila siku

    Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli. Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona mnaupigia kelele, kingine ni kuhusu suala la chenji. Hilij ambo ni dogo lakini linakera na linapaswa...
  17. Wachezaji kudai posho na malupulupu yao huo sio utovu wa nidhamu kama mmewaahidi pesa alafu mnageuka na kuwasimamisha ni ulimbukeni

    Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu...
  18. Tanzania kama huna hela, asilimia kubwa unaweza kupokwa haki yako

    Yaani hii nchi ya ovyo, ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata mambo makubwa kama kunyanyaswa, kama huna hela au connections sahau kupata haki. Ndio maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji nk kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu.
  19. R

    Serikali futeni utaratibu wa kudai maiti Hospitali za Serikali

    Salaam, Shalom! Tamaduni zetu za kiafrika, huwa hatuna utaratibu wa kudai maiti. Mtu akishaaga Dunia huwa tunasamehe. Bwana bwana, juzi tena TABIA hii isiyofaa imeibuka tena mkutanoni Furahisha Mwanza katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCCM, Kada mmoja wa chama tawala akanyosha mkono...
  20. S

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo. Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa. Hata hivyo, cha kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…