Wanabodi,
Huu ni wito kwa Watanzania tujifunze kuwa ni watu wa shukrani, tuwe na shukrani kwa kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Je tujifunze kuwa na shukrani kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Japo tulitaka kikubwa, Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, tumepewa kiduchu tuu!, je tukipokee...
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo...
Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali ,mama yake pekee alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti...
Wakulima wa maeneo mbalimbali Nchini waliofanya biashara na Serikali kupitia Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko mnamo Agosti 2023, na kuahidiwa kulipwa ndani ya siku 5 za kazi (Agosti 21 hadi 25, 2023) wamesema hawajapata malipo yao na hakuna maelezo kutoka idara husika.
Wamesema mazingira...
Nipo hapa Mlimani City ndani ya Jiji la Chalamila (Dar es Salaam), taarifa ikufikie kuwa vijana wa security yaani wale walinzi wanaovaa yale mashati maupe wameandaa maandamanonmadogo ya mgomo wa ndani ya jengo hilo, wanadai hawajalipwa mshahara, imekuwa kero, hiyo maandamano yasiyo rasmi...
Zimbabwe tayari wapinzani wanadai kuibiwa uchaguzi.
Gabon uchaguzi wao ni leo:
"Huko kwenye mtandao wa internet, TCRA ya huko tayari imeshafanya yake."
Zaidi mno Serikali ya huko imepiga marufuku uwepo wa waangalizi na wanabari wa kimataifa.
1. Twendeni mahakamani,
2. Kampeni zetu ziwe na...
Kwa namna ambavyo viongozi wetu wanajitahidi kubinafsisha rasilimali zetu - Hadi 2050 Bara la Africa litaanza kuvunja mikataba na kuwafukuza wawekezaji maana hawana manufaa kama tunavyoaminishwa kwa sasa.
Wawekezaji watafukuzwa kama walivyofukuzwa wakoloni.
Wananchi watakuwa hawana pa...
Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai?
Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini.
Hapa naona...
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya
1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama...
Kutokana na hali na upepo wa kisiasa, natumaini kwa wabunge wa Tanganyika huu ni Muda muafaka wa kupeleka hoja ya kubadili katiba na kuanzisha serikali ya Tanganyika na kuanzisha vifungu vya kulinda maliasili za watanganyika . That said, Rais JM Kikwete apewe muda wa kuongoza serikali ya...
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko.
Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa...
Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali).
Chanzo cha upuuzwaji huu wa sauti za wananchi, uvizwaji wa nguvu ya wananchi na viongozi kutoogopa/...
Jeshi la polisi mkoani Katavi linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumteka mtoto wa kike, mwenye umri wa miaka 9 mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mizengo Pinda iliyoko manispaa ya Mpanda kwa kumfungia chumbani na kudai pesa kwa baba yake kiasi cha Shilingi milioni 50 ili...
UTANGULIZI
Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
Hawa jamaa hadi wanatia aibu..
https://apnews.com/article/ukraine-russia-tank-leopard-blew-up-tractor-2824d17105d3cfb875a5306acd2c9089
A grainy black-and-white gunsight video Russia released this week to bolster a claim its military blew up some of Ukraine’s most fearsome tanks actually...
Picha: Askofu Mwaikali
Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana.
Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli...
Umeishiwa kodi ya nyumba unahamgaika, umezidisha miezi mitatu, madalali wanapishana kuwaleta wateja nyumbani kwako. Wateja wanaingizwa vyumbani hadi kwenye chumba unacholala.
Hatufahamiani, umenifuata PM, umenipeleka hadi home kwako, umenitambulisha kwa mkeo na watoto.
Kwa machozi umeniomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.