"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano.
"Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo.
"Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao...
Hellow!
Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba.
Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku akikemea vikali wabunge aliodai kuwa wamekuwa 'machawa' kwa kujipendekeza kwa Rais wa Tanzania Dkt...
Wakuu,
Aisee hii ni kali :BearLaugh: :KEKLaugh:, chawa ndio mmechoka mama kiasi hiki mpaka mmemuweka kwenye bango la comedy? Kwahiyo mmekubali kuwa uongozi wake ni kituko mpaka mmefanyia hivi?
Aisee nimelia sana:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:. Nimebubujikwa kwa machozi ya uchungu...
Wakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute.
Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya miswada kupelekwa bungeni na baadaye kupitishwa baada ya kupitiwa kuwa sheria.
Wasira anaongeza...
Mungu akimshukia Mama akamuonyesha 5 tena vile itakuwa ataomba kushuka.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama Mungu anaweza...
Ndugu Zangu Watanzania,
Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha.
Lakini ikumbukwe na kuwakumbusheni na kumkumbusha Mheshimiwa Mrisho Gambo kuwa Kabla ya kuwa Mbunge Amekuwa DC...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa kutokana na umri wake mkubwa na kuwataka wananchi wasipoteze muda kumjadili.
Akizungumza katika...
Tundu Lissu akijibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa Habari aitwaye Elizabeti amesema kuwa yeye hana hadhi ya kuzungumza na Makamu Mwenyekitinwa CCM Mh. Steven Wasira.
Amedai kwamba Mh. Steven Wasira amekuwa kwenye uongozi kwa miaka mingi kwa hiyo hana jipya la kufanyia Mdahalo.
Kupata...
Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi CHAMA hicho HAKITAKUBALI Uchaguzi feki ufanyike nchini mwezi october 2025.
Akiongea kwa nukta...
John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya Wananchi wa hali ya chini.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
"Katiba yetu ilivyoandikwa zile zinazoitwa haki za kikatiba zinaanzia Ibara ya 12 mpaka Ibara ya 29: Haki ya Kuishi, Haki ya kuwa huru, haki ya maoni, haki ya kushiriki shughuli za umma nakadhalika, hizo zinazoitwa haki za binadamu ndizo haki za kikatiba, kama kuna kitu hakijaandikwa kuanzia...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche leo Jumatano Februari 12, 2025, anazungumza na wananchi wa Tarime
Fuatilia hapa kinachoendelea kutoka mjini Tarime
https://www.youtube.com/live/3vCV_A7LVeI
John Heche anasema "Hapa ndio Tarime, leo nimesimama...
Wakuu
Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa.
Kiongozi huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amejenga sifa ya kuwa kiongozi...
Wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ambako pia wananchi watapata nafasi ya kuchagua wabunge watakaowawakilisha kwa miaka mingine 5, tunashashuhudia viongozi wakianza kutangaza nia na kuahidi mabadiliko wakipata nafasi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia ni Chaguo La Mungu,Kwa hakika Mama Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe,Kwa hakika Mama alikuja kulipa Furaha Taifa hili ,kwa hakika Mama alikuja Kwa Makusudi Maalumu Hapa Duniani,Kwa hakika Mama Samia Ana Sehemu yake Katika Mioyo ya watanzania Ambayo huwezi...
Wakuu
Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Pia, Soma:
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii kuwapa wanawake nafasi na sauti katika uongozi, akisema kuwa bila juhudi za makusudi za kuwaunga mkono, usawa wa kijinsia hautafikiwa.
Waziri Gwajima ameyasema hayo mkoani Dar es...
Wakuu,
Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13, 2025.
Akizungumza huko Tarime, Heche amewahasa wananchi wa Tarime kuiunga mkono CHADEMA kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.