Wakuu,
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameendelea kufuatilia mwenendo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ambazo chama hicho kimefungua katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza katika Mahakama ya Wilaya ya Hakimu...