kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  2. ESCORT 1

    Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
  3. Teko Modise

    Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

    Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
  4. MamaSamia2025

    Kuelekea kumtangaza Mwl. Nyerere kama Mtakatifu, ninasihi Kanisa Katoliki wafanye jambo kwa ajili ya CCM kutambua mchango wa chama kwa Mwalimu

    Akiwa mwasisi wa CCM, Hayati Mwalimu Nyerere aliungwa mkono na chama kwenye uongozi wake hadi kukawa na msemo wa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"... Kwa hakika kwenye maisha yake CCM ilikuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere. Ninawasihi wakatoliki wafikirie kufanya jambo kwa ajili ya Chama Cha...
  5. kavulata

    Watanzania tunasubiri kuibiwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana. Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa...
  6. Magufuli 05

    Makonda, wanakutumia kuelekea 2025. Wakizingua gombea mwenyewe

    Sina mashaka na upeo na uelewa wako katika hili. Naamini wewe unaijua vizuri CCM. Kwa ufupi Sana,Jamaa wamekuweka hapo kutafuta kura za wasukuma. Bahati nzuri kabisa hii ni fursa kwako ya kujitangaza na ilivyo ajabu Watanzania wamekupokea vizuri Sana. Unaushawishi na kuna maono mazuri...
  7. Kingsmann

    Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  8. B

    Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

    Kwamba taarifa zote zilifuatwa. Hata ilipobidi rufaa ilikatwa kwa waziri: "Silence gives consent." Kesho tutamwagika mitaani kwa maandamano yatakayokuwapo kila tarehe 9 ya mwezi hadi hoja zetu zitakapojibiwa. Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, rais wetu mpendwa wa JMT: "Kuna tetesi...
  9. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  10. D

    Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

    Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri. Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Ishmael alizaa Maseyidi (watoto) 12 ambao ndio Waarabu wa leo. Eneo lao la umiliki ni kuanzia Saudi Arabia kuelekea Ashuru na mashariki ya Misri

    ISHMAEL ALIZAA MASEYIDI(WATOTO) 12 AMBAO NDIO WAARABU WA LEO. ENEO LAO LA UMILIKI NI KUANZIA SAUDI ARABIA KUELEKEA Ashuru NA MASHARIKI YA MISRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna Watu wengi wanachanganya Madesa, kuchanganya waarabu na jamii zisizo na uhusiano na waarabu. Jamii za waarabu...
  12. MIRA01

    Sherekea vitu vidogo kuelekea vitu vikubwa

    Idadi kubwa ya watu haswa jamii yangu ya kitanzania imekubwa na tatizo sugu la msongo wa mawazo. Tatizo hilo limekuwa sugu kiasi kwamba watu wengi huishia katika maamuzi mabaya na hata wachache wao kuishia kuyatoa maisha yao. Kuna mambo machache nimekuja kujifunza na hii mara baada tu...
  13. L

    Michezo ya Asia ya Hangzhou 2023 kuhimiza Asia kuelekea maendeleo ya pamoja, uwazi na mafungamano

    Michezo ya 19 ya Asia inayofanyika mjini Hangzhou, China ni jukwaa kubwa zaidi la michezo barani Asia, na inafanyika kwa mara ya kwanza baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na changamoto ya COVID-19. Kwenye hotuba ya ufunguzi wa michezo hiyo, Rais Xi Jinping wa China alikumbusha kuenzi kauli...
  14. zitto junior

    Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

    Salaam wana jukwaa, nimekutana na interview ya Wakili Mwabukusi na Maria Sarungi probably kutoka Maria spaces/clubhouse. Cha kushangaza Wakili msomi alikua busy kushambulia wapinzani kuwa ni wawaza ubunge, wapenda vyeo n.k. Hivi kweli hajui struggle za lissu hadi kumwagiwa risasi, hajui mbowe...
  15. ACT Wazalendo

    Webiro Wakazi: Tujiandae Kimkakati Kuelekea AFCON 2027

    TANZANIA TUJIANDAE KIMKAKATI UWENYEJI WA AFCON 2027. Tarehe 27 Septemba 2023 Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF katika kikao chake kilichoketi Nchini Misri ,wamezitangaza nchi za Afrika mashariki Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa mashindano ya Mataifa ya Afrka ya Mpira wa Miguu...
  16. T

    Kuelewa biashara ya hewa ukaa. Njia kuelekea mazingira bora

    Habari! Je, umewahi kujiuliza jinsi tunavyoweza kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupunguza uzalishaji wa gesi chafu kwa ufanisi? Hapa ndipo Biashara ya Hewa Ukaa inapoingia! 🌿💨 🔍 Ni nini Biashara ya Hewa Ukaa? 🔍 Biashara ya hewa ukaa, inayojulikana pia kama biashara ya uzalishaji wa...
  17. Nigrastratatract nerve

    Nimeona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu Waziri Mkuu ikitengenezwa kwa kasi maeneo ya Musabe

    Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
  18. Maan

    Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii. Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya...
  19. Zombie S2KIZZY

    Maombi maalumu kuelekea mechi muhimu za leo

    Leo watanzania tutakuwa bize na matukio mawili na hivi punde mechi zinaenda kuanza pale nchini Zambia na Rwanda limebaki saa moja la kufanya maombi ya mwisho. Mungu awabariki mashujaa wetu walioenda kupambana kwajili ya tukio la leo. Mungu awabariki wapate matokeo mazuri. Mungu ibariki Simba...
  20. Teko Modise

    Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
Back
Top Bottom