Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Shinzo Abe.
Taratibu za kutoa heshimaza mwisho zinatarajiwa kufanyika Jumanne...
Haina haja ya salamu.
Hawa wavaa vibaya na wasema hovyo wanatabia nyingi mbovu. Hapa nielezee kidogo nauli. Wandugu kama hujui bei watakukanyaga watakutoza kiasi wanachotaka wao.
Kabla mafuta hayajapanda Kwa sababu za vita ya Ukraine vs Russia nauli ilikuwa 750 kutoka pande zote za mbali. Hapa...
DESTURI.
Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao.
Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi cha mbuzi waliokuwa wakitumiwa kama "hirizi?" wakati wa vita kwa karne nyingi. Mila hii ilianzia...
Poleni kwa tozo,
Mwenye akili timamu kabisa hawezi fikiri KUWA Mama kaanzisha Tozo kupitia waziri wa fedha Ili kuwaudhi watanzania Ili waje wamchague tena MWAKA 2025.
Pia kwamba Mwigulu nchemba kaanzisha Tozo Ili wananchi wamchukie Halafu ategemee eti MWAKA 2025 achukue fomu ya urais Ili...
Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika.
Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije...
Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba.
Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST
Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za kuwapeleka wanaanga na vifaa mwezini katika masiku yajayo kwenye mission mbalimbali za kwenda kwenye gimba...
Unapoanza kutimiza malengo yako ni sawasawa na kuanza Vita Kuna mawili kushinda battle na kushindwa battle it depends na jinsi ulivyojiandaa bila kusahau bahati.
Vita dhidi ya nani?
Walimwengu, wachawi, wenye roho mbaya, wanafiki, majini kiukweli ni battle yenye wingi wa maadui.
You need to be...
Tanzania Haijachelewa Kuufikia Uchumi wa Viwanda
Tanzania ya Viwanda ni sera iliyopewa kipaombele sana na Raisi wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli akiamini kupitia uwekezaji na maendeleo ya viwanda ndio njia pekee itakayoiwezesha Tanzania kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi yatakayo...
UTANGULIZI.
Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU).
Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555)
Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo.
Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake.
Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
=====
UPDATES
======
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
European Union member Lithuania will allow sanctioned Russian goods to transit its territory on their way to Russia's Kaliningrad exclave, its Foreign Ministry said on Wednesday, reversing its policy after new European Commission guidelines.
The new guidelines on Wednesday followed weeks of...
Baraza la Habari la Kenya (MCK), limewataka Polisi kuchunguza kwa haraka mashambulizi dhidi ya Wanahabari, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, siku chache baada ya kushambuliwa kwa Mwanahabari wa Nation Media Group, Ian Byron
Mwanahabari huyo mnamo Julai 10, anadaiwa kushambuliwa na watu...
Mwez ujao kutakuwa na mashindano ya Draft ya kumtafuta bingwa wa Tanzania
Kwasasa Hapa Dar es salaam kumekuwa na mechi za Man to Man , za mabingwa wa draft wakijiandaa kuelekea Mashindano hayo makubwa .
Mabingwa Kama Cr7, Noel, dogo Sisco, Gaidi, Dogo Ally, dogo Yassin, Saiya, Omary Kiwende...
Wasaalam wanabodi,
Miaka ya nyuma ile barabara tulikuwa tunaitumia vizuri tu.
Akaja mtu na mawazo yake ya kujiimarishia ulinzi akaamua kuifunga bila taarifa zozote.
Sasa kwa kuwa ni awamu ya sita, tunaomba serikali yetu tukufu chini ya Rais Samia mtufungulie ili tuweze kurahisisha mizunguko...
Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari za uwongo za kisiasa
Inaelezwa kuwa zaidi ya video 130 zilizohusishwa na akaunti 33 zilitazamwa...
Saido na Ambudo wametimuliwa kambini baada ya kutoroka mazoezini na kwenda disco baada ya mchezo wa Biashara dhid ya Yanga ulioisha 1-1.
Hivyo hao wachezaji hawatakuwa sehemu ya kikosi jumamosi
===
SIKU mbili kabla ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba na...
Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu.
Man City itashuka dimbani Etihad kuwakaribisha Aston Villa huku ushindi ukiwahakikishia ubingwa.
Liverpool...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.