kuelekea uchaguzi 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Madiwani wapendekeza jimbo la Dodoma mjini ligawanywe

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20 na Jimbo la Dodoma Mjini lenye kata 21. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Rorya: CCM imeshinda vijiji 84 kati ya 87 na vitongoji 470 kati ya 508

    Jimbo la Rorya limeshinda vijiji 84 kati ya 87 na vitongoji 470 kati ya 508. Ushindi huu ni zaidi ya 97% . "Ushindi huu unatupa dira na mwelekeo wa uchaguzi wetu wa Serikali kuu mwakani lakini pia kuonyesha jinsi utekelezaji wa ilani ya chama chini ya mwenyekiti wetu Taifa mama yetu Samia...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Kilimanjaro: CHADEMA kimepata ushindi Kata ya Mbokomu, Ikishinda Vitongoji Vitano

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Mbokomu, baada ya kushinda vitongoji vitano kati ya saba. Ushindi huu unathibitisha umaarufu wa CHADEMA katika kata hiyo, huku wananchi wakionyesha imani kubwa kwa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  4. econonist

    LGE2024 Sijapenda Approach ya Lema kule Arusha

    Lema alidai CHADEMA watashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa na kuahidi kupambana. Pamoja na sisi wanachama kudai ya kwamba CHADEMA isishiriki huo uchaguzi lakini bado Viongozi hao akiwemo Lema walikazana CHADEMA ishiriki pamoja na rafu zote zile. Cha kushangaza Jana tarehe 27 Novemba siku ya...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Mbarali: CHADEMA yashinda vitongoji 4 kati ya 7 na CCM vitongoji 2

    Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda vitongoji vinne kati ya saba. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika vitongoji viwili, huku...
  6. Waufukweni

    LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Kilimanjaro, Gervas Mgonja azungumza tuhuma zilizofanya akamatwe na Jeshi la Polisi

    Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kumshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wa mkoa huo...
  7. Waufukweni

    LGE2024 TAKUKURU yabaini Wagombea wanaotoa rushwa usiku

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kigoma, imebaini baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa kutumia rushwa ya fedha na nguo kwa kuwapatia wananchi nyakati za usiku wakitembea nyumba kwa nyumba huku baadhi ya wagombea wakilazimika kukimbia ili wasikamatwe...
  8. Waufukweni

    LGE2024 Mary Mwanjelwa: Rais Samia apewe maua yake, mikopo ya asilimia 10 ilitoka

    Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mary Mwanjelwa amemwaga sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri. Mwanjelwa amesema hayo wakati wa mkutano wa kampeni...
  9. Waufukweni

    LGE2024 CHADEMA watoa Elimu ya kupiga Kura ya Ndio na Hapana Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao. CHADEMA wametumia fursa hiyo pia...
  10. J

    LGE2024 Tundu Lissu atimba Ikungi na kugawa Nakala za viapo kwa Mawakala wa CHADEMA. Suphian Juma wa CCM naye kuwaongoza Wana Ikungi!

    Wakati God bless Lema wa Arusha na Pambalu wa Mwanza wakiendelea kulialia, Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko Ikungi Singida na mambo yanakwenda vizuri Kadhalika mkoani Mbeya mh Sugu anaendesha seminar ya Mawakala na wanakwenda vizuri Suphian Juma naye yuko Ikungi bampa to bampa...
  11. Waufukweni

    LGE2024 Kesi ya Mdude Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa, kusikilizwa tena Novemba 28 na Jaji Pomo

    Wakuu Kesi ya Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa. Kesi hiyo, ambayo ilikuwa ikitarajiwa kusikilizwa leo tarehe 26 Novemba 2024, sasa imepangwa kusikilizwa tarehe 28 Novemba 2024 mbele ya Jaji Pomo katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mbeya. Soma, Pia: Mdude...
  12. Waufukweni

    Wagombea mmeambiwa mjishikilie baada ya mmoja kufumaniwa ugoni akiwa kwenye harakati za kampeni

    Wagombea wametahadharishwa kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vinavyoweza kuharibu taswira yenu kama viongozi, baada ya mmoja wao kudaiwa kufumaniwa ugoni akiwa katika harakati za kampeni.
  13. Waufukweni

    LGE2024 RC Makonda: Piga kura ondoka katafute pesa, kulinda waachie mawakala

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao. "Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Ahmed Ally: Ukiamka asubuhi nenda kituoni piga kura kisha elekea uwanjani

    Semaji la CAF, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa Simba kupiga kura kabla ya kwenda uwanjani kushuhudia mechi kali ya hatua ya makundi dhidi ya F.C. Bravos do Maquis hapo kesho tarehe 27 Novemba ambayo ndiyo siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  15. Waufukweni

    LGE2024 Shamira Mshangama: Tusifanye makosa, Siasa ni maisha na CCM ndio Chama pekee kinachoweza kutatua kero za Watanzania

    Shamira Mshangama akiwaombea kura wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na CCM katika mtaa wa Mbeza, kata ya Manundu Wilayani Korogwe Mji katika mkoa wa Tanga.
  16. Waufukweni

    LGE2024 Kwa kauli hii ya Amos Makalla ya "Mwana CCM ukishapiga kura, rudi nyumbani", Upinzani jiandaeni kwa virungu vya polisi

    Huu ni mtego kwa Wapinzani kupigwa virungu na Polisi, wakati vyama vya CHADEMA na ACT Wazalendo wakisema baada ya kupiga Kura wafuasi wao wakale kisha warudi vituoni kulinda kura upande wa CCM kupitia Amos Makalla, amesema Mwana CCM akishapiga Kura arudi zake Nyumbani. Soma, Pia: • Mwenyekiti...
  17. Waufukweni

    LGE2024 UPDP, Demokrasia Makini wazindua kampeni

    Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinakaribia ukingoni, viongozi wa vyama vya siasa nchini wameendelea kuhamasisha wananchi kushiriki kwa amani na utulivu kwenye uchaguzi huo. Mwenyekiti wa United Peoples Democratic Party (UPDP), Twalib Kabeje, amezindua kampeni za chama hicho...
  18. Waufukweni

    LGE2024 DC Babati: Kura yako ni fyucha ya kitaa

    Wananchi Mjini Babati mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza Novemba 27 mwaka huu kupiga kura ili kuwa kuchaguavViongozi waadilifu watakao waongoza katika kuleta maendeleo, huku wakitakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa. Akizungumza na wananchi, Mkuu wa wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda...
  19. Waufukweni

    LGE2024 Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo

    Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi. Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
  20. Waufukweni

    LGE2024 Amos Makalla: CCM haitaji kubebwa, Siasa sio ugomvi wala vita

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema siasa sio ugomvi wala vita, hivyo amepongeza kuona kiongozi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) akiwatambulisha wagombea wa CCM. Makalla amesema hayo leo Novemba 24,2024...
Back
Top Bottom