Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, ametangaza rasmi tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa ni kuanzia tarehe 26 Oktoba hadi Novemba 1, 2024. Mchengerwa amewasihi wananchi wote wenye sifa za kugombea, kama...
https://youtube.com/live/CblBhVLNuYE?feature=share
Kutoka mkoani Mwanza, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ameamua kuzungumza na Waandishi wa Habari kujibu madai kadha wa kadha yanayo husishwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa ameeleza kuwa hajapata uthibitisho wa madai kuwa kuna vituo vya Uandikishaji Wapiga Kura nchini vimeandikisha baadhi ya watu (Wanafunzi) ambao hawajakidhi vigezo kikanuni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa.
Akizungumza na waandishi...
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Dodoma Mjini umelalamikia kuwepo kwa vitendo vya hujuma katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Daftari la Mkaazi.
Akizungumza leo, Oktoba 14, 2024, katika ofisi za CHADEMA Kanda...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango, ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, katika Kanisa la Mt. Francis Xavier, Nyakahoja, Mkoa wa Mwanza.
Katika hotuba yake, Mpango amewahimiza wananchi kujiandikisha kwa wingi kwa ajili ya...
Kuna uwezekano wa mimi kutoshiriki upigaji kura kwenye huu uchaguzi Kwasababu watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume badala ya tume huru, hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki pasipo tume huru.
Mamlaka nyingi za nchi nimeziona zimekuwa kama machawa hawatambui pasipo tume huru hakuna...
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024.
Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27...
Hivi ndivyo Mbunge Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI alivyopokelewa jimboni Rufiji, Ikwiriri na akina Mama kwa kugalagala.
Soma Pia:
Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake
Uzi Maalum wa...
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifwamba, ametoa onyo kali kwa wanachama wa CCM ambao watakuwa kikwazo cha ushindi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Amesema chama hakitasita kwenda nao jumla jumla wale watakaozuia kufanikisha malengo ya kushinda, kwani...
Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) limetoa tamko la kukerwa na matendo ya Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia chama hicho kabla ya kuhamia CCM.
BAWACHA wanasema kuwa Msigwa amekuwa akiwakandamiza viongozi wa CHADEMA katika majukwaa mbalimbali ya kisiasa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa wito kwa Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kuzingatia suala la kupanda kwa gharama za maisha. Mnyika amesema hali hiyo ni sehemu ya athari mbaya za kiuchumi...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Jiji la Dar es Salaam
HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Jiji...
Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000.
Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida...
Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama
Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura wanashindaje uchaguzi?
Wameandaaa mfumo Gani Kwa Kila Kijiji CHADEMA kupata kura Tanzania...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe...
1. CCM nao wanachekesha Sana aisee. Yaan eti nao wanajipanga Kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 mbona 2019 waliachiwa viti vyote nchi nzima?
2. Panic ya nn mwaka huu. Watulie kusubiri "kutangazwa" washindi bila kupingwa.
Wakati serikali ikitarajia kutangaza zoezi la maboresho ya daftari la wapigakura katikati ya mwezi wa saba kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoani Mara @jafari_chege anatarajia kuanza ziara itajayojikita kata kuwaanda...
Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya.
Mkoa wa Tabora una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa mikoa mikubwa zaidi nchini Tanzania.
SOMA PIA
Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.