Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza Jumapili, Novemba 24, 2024, kwenye mkutano wa kampeni...
Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha Mapinduzi siku ya uchaguzi tarehe 24 Novemba, 2024.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa...
TAARIFA YA JESHI LA POLISI:
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph Osmud Mbilinyi Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Pascal Yohana Haonga, Mbunge mstaafu CHADEMA Mbozi Mlowo, Mdude Mpaluka Nyagali...
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
Nape Moses Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (MNEC) alipokuwa akifungua mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa aneeleza kuwa ni muhimu wagombea kufanya kampeni kwa amani.
Akiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi.
Akiwa kwenye kampeni leo mjini Arusha, Godbless Lema "Juzi mmeona Dar es Salaam, na hili jambo huwa nalisema kila siku yeyote anayekataa kupigania zana ya Utawala bora atakutwa na mauti ya kudharau zana ya utawala bora. Dar es Salaam ghorofa limeanguka limeua watu karibu 20, ile ni kukosekana...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika 27 Novemba 2024 .
Mwenezi Mvamba ameyasema hayo leo Novemba 21. 2024 katika Mkutano wa...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao katika kuwasilisha na kueleza ajenda za maendeleo kwa wananchi.
Hapi alitoa kauli hiyo katika mkutano...
Wakuu
Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena.
Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha.
Pia, Soma:
• Morogoro...
LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES
SALAAM.
MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM
Chama Cha Mapinduzi
https://www.youtube.com/live/JvhEBb6Julc?si=5Cm70GRr3xMZdRlb
Global TV...
Wazee na Viongozi wa Dini Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamekutana Kujadili na Kuombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa Kufanyika Mapema wiki Ijayo ili Ufanyike wa Amani na Utulivu.
Akziungumza katika Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ikungi Mkoani Singida...
Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini.
Pia, Soma:
• Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa
• TAKUKURU Iringa kuanzisha...
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema, baada ya kukamilika kwa mchakato wa kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wakati wa wananchi kujiandaa kwenda kupiga kura ili kuwachagua Viongozi watakaowaletea maendeleo katika maeneo yao.
Soma, Pia;
+...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imeanzisha kampeni ya kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kwa kutumia michezo mbalimbali.
Bonanza la michezo lililofanyika katika kata ya Tinde limejumuisha mbio za baiskeli kwa wanawake...
Viongozi wa Dini mkoani Manyara wametoa wito kwa vyama na wagombea wa vyama vya siasa kutumia lugha za kistaarabu wakati wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza Novemba 20 mwaka huu ili kudumisha amani, upendo na mshikamano wa kitaifa.
Soma, Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa...
Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024.
Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa...
Wakuu
Kumeanza kuchangamka huko Arusha
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la uchaguzi wa ndani wa chama hicho uliofanyika mkoani humo kufukuzwa uwanachama.
Akizungumza kwa niaba ya Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Fredrick Shoo, ametoa wito kwa mamlaka na vyombo vyote vinavyohusika kuhakikisha vyama vyote vya siasa vinavyogombea uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.