Sheria hii inaweka masharti ya kusimamia uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, kufuta Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, 1985 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, 1979 na kuweka masharti mengine yanayohusiana na hayo.
Kwa mujibu wa Sheria hii, Mtu yeyote ambaye ni raia wa Tanzania aliyetimiza...